wapuliza midomo ya bata wa kikundi maarufu cha matarumbeta cha mount usambara cha mzee hoza, muasisi wa burudani hii kwenye sherehe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kweli nimezeeka wanasema ukiona fashion inajirudia basi ujue umri unakwenda

    kama vile bugaloo zilikua fashion sikaondoka zikarudi...I wasn't there at the first time lakini matarumbeta nakumbuka yalikua fashion yakapotea na sasa yamerudi....wewe....nimezeeka.....sijui wapigaji ni walewale au ...hawa wa huko huko tanga walipigaga kwenye harusi ya shangazi...

    ReplyDelete
  2. Wasambaa kila kona, ndio maana wakaitwa wasambaa, sijui mji au ni nchi gani ambako hakuna wasambaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...