nimeamka na kukumbana na habari kwamba kocha wa chalsii jose mourinho kaachia ngazi. hebu basi bofya hapa upate habari kwa undani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Kafukuzwa huyu! Tangu lini aliyeajiriwa aonekane mkubwa kupita aliyemuajiri?

    Anyway, good luck and good ridance to both Maurinyo and Chelsea.

    BTW, how about them Gunners!!!

    ReplyDelete
  2. Best Manager EVER!!! Watu hawana shukrani kabisa, yaani mtu hajafungwa home 185 games!! Ameperform for years at the Top! Wiki moja tu mambo hayajaenda fresh tena bila wachezaji muhimu, ndo wameamua kumfukuzu! Watalijutia hili.
    Best of Luck "Special One"!!!

    ReplyDelete
  3. alichangamsha ligi lakini mjue wachezaji sasa wameanza kuchoka they give it all they have for the last 3 years it is over u will remain the special one alwayz wait for comment from other premier coaches!

    ReplyDelete
  4. no entertaining football, fighting with his trusted players(terry),poor turn up in the last match with norwegian side, all these are enough points to make a decision big after all it still not too late , good bye the special one.

    ReplyDelete
  5. Ooh Morinyo namsikitikia ila tatizo lake ni kule kutaka kuwa juu ya bosi wake na kushindwa kufanya kile alichoitiwa kwani in his 3 seasons hakuweza kuchukua Champions League kitu kilicho na umuhimu mkubwa kwa bosi wake so he had to go na hana jipya.Tutamiss sana kauli zake tatanishi kwenye premier.Adios.
    Kimanumanu

    ReplyDelete
  6. Thats the best move for Chelsea as a team .
    Mourhino atapata timu nyingine.

    ... chelsea inahitaji kocha atakaye ijenga vizuri,wacheze mpira badala ya kutegemea individual skills kupata matokeo .

    Wtazamaji chini ya 25,000 ktk champions league sum up the story .

    ReplyDelete
  7. NI KATI YA HABARI ILIYONIGUSA SANA KWA SIKU YA LEO; KWA HAKIKA MIMI NI MSHABIKI NA MPENZI MKUBWA WA ASERNAL. LAKINI MOURINHO KWANGU NI MIONGONI MWA WATU WACHACHE SANA WALIOBAKIA HAPA DUNIA WENYE UWEZO WAKUELEZA MISIMAMO YAO BILA KUMWOGOPA MTU YEYOTE AWE TAJIRI AU MASIKINI; AWE ANATOAKA NCHI INAOJIATA IMESTARABIKA AU DUNIA YA KWANZA;. NI KATI YA WATU WACHACHE SANA WALIOWEZA KUPAMBANA NA UDAKU NA FITNA ZA WAANDISHI NA MAGEZETI YA KIINGEREZA; MIMI KWANGU HUYU NI SIMBA WA VITA NA NI 'MWANAUME MBELE ZA WANAUME'.KWANZA ANAO UWEZO WA KUFUNDISHA REKODI ZAKE ZINAJIELEZA AKIWA F C PORTO NA CHELSEA. ''' NASEMA HIZI WEWE NI KAMANDA''' BIG UP MZEE. by Turenaz

    ReplyDelete
  8. TANGULIA MORINYO, NENDA MORINYO.. HAHAHA NAMUONEA HURUMA ILA MSHKAJ ALIKUWA AMEZIDI DOMO NA SASA AMEAMINI KUWA KUWA TO TAKE A CLUB TO ANOTHER LEVEL IT IS A COMBINATION OF FANS, ATTITUDE CLUB'S HISTORY AND PEDIGREE. CHELSEA LACKS THESE ALL.

    ARSENE IS THE GUY JAMANI!
    FERGUSON WAS ALSO FANTASTIC, BUT IT IS TIME HUYU JAMAA ASTAAF

    ReplyDelete
  9. JAMANI SASA NANI ATACHANGAMSHA LIGI??? JAMAA ALIKUWA POA KWANI MAJIGAMBO YAKE YALIKUWA POA KWELI , TULIKUWA TUNAKUWA GHADHABU NAYE SABABU YA MAJIGAMBO KITU AMBACHO KILILETA MSHAWASHA FLANI HIVI. SASA LIGI ITAPOOZA KIDOGO.

    MZOZAJI

    ReplyDelete
  10. nilikuwa nafuatilia talkshow moja hapa ukerewe inaelekea hata mzee ferguson hana muda mrefu man U,maana na yeye wameanza kumwandama eti hana jipya.binadamu bwana.

    ReplyDelete
  11. Ninaona huruma kwa Chelsea na wapenzi wake maana nahisi wachezaji muhimu watafuata. Bro Michu, Gunners umewasikia? naona hili unalikwepa!!!!

    ReplyDelete
  12. BREAKING NEWS: MAXIMO KUIFUNDISHA CHELSEA KWA MKATABA MNONO, KUNA HABARI KWAMBA ATACHUKUA BAADHI YA WACHEZAJI WA STARS KWENDA NAO CHELSEA KAMA SAID MAULID NA HARUNA MOSHI. THAT SOUNDS GREAT AU SIO JAMANI!!!!

    ReplyDelete
  13. MOURNHO NI KOCHA MZURI NA ATAENDELEA KUWA KOCHA MZURI,MIMI BINAFSI NAMPENDA JAPO KUWA NITAENDELEA KUWA MSHABIKI WA CHELSEA.NAMTAKIA KILA RAHERI HUKO AENDAPO

    ReplyDelete
  14. Naomba Hiko Kimbunga Kiikumbe Na LIVERPOOL Maana Wanamdomo sana

    ReplyDelete
  15. FROM A REGISTERD MEMBER OF MANCHESTER UNITED

    ASTA LAVISTA MOURINHO BUT YOU WERE ONE AMONG THE BEST COACHS IN ENGLISH FOOTBALL EVER AND YOU HAD ALL THE CRUDENTIALS OF ARCHIEVING THE PREMIERSHIP CROWN FOR THE NEXT FIVE YEARS BUT NOW THEY HAVE APPOINTED THE ISRAEL COACH WHO HAS NEVER MANAGED A CLUB OUT OF ISRAEL APART FROM THE ISRAEL NATIONAL TEAM AND PORTSMOUT SPORTING DIRECTOR.BUT ITS LIKELY MOURINHO WILL BE PORTUGAL MANAGER ALTHOUGH TOTENHAM ARE KEEPING AN EYE ON HIM BUT IM SURE FERGUSON, BENITEZ & WENGER ARE OPENING THEIR CHAMPAGNES TO CELEBRATE BECAUSE NOW ITS TOP 3 MANCH LIVERPOOL & ARSENAL .

    ReplyDelete
  16. DAH,siku yote hii nimekua mgonjwa natamani kulia lakini haisaidii,nililala mchana nikaota kwamba jamaa amerudi nilifurahi kushituka nikajua kwamba ni ndoto tu.Hakika ushabiki ni zaidi ya ugonjwa.Lakini nitabaki kuwa Chelsea naamini tutarudi japo tumepoteza jabali muhimu sana ambalo hakika liliwamudu waandishi wa habari wa uingereza.Sasa nadhani watapunguza kuiandika Chelsea vibaya,na marefa watatulia sasa maana kampeni zao zimeshinda. SIPATI PICHA KINA Ben,Fergie,Wenger wanafuraha kiasi gani coz Jose alikua anajua kucheza mechi kabla,anakutieni maneno mabovu ukiingia dimbani ushapagawa! ni mbinu kama za Julio alivyokuwaa anawatungua Yanga zinakubalika kisoka.Dah, All da Best the SPECIAL ONE

    ReplyDelete
  17. Mimi ni chelsea damu. Nakubali kuwa Mourinho alikuwa bonge la kocha lakini kuondoka kwake sio mwisho wa chelsea. Tutapata kocha mwingine mzuri tu. Hivi sasa tusha anza kuwanyatia kina Rijkaard,Hiddink na Mark Hughes (stricker wa zamani wa the blues)na makocha wengine kibao tu.

    Kila mmoja atakuja na sababu yake kwa nini Mourinho ameondoka hasa magazeti ya udaku ya wingereza ili wauze lakini ukweli utabakia kwamba Chelsea bado itaendelea kuwa tishio hata chini ya huyo mu-Israel hata kama hajawahi kuongoza klabu kubwa.

    Hivi wadau mnadhani kuwa hata Julio akiteuliwa kuwa kocha wa chelsea watashindwa kufanya vizuri? Kwanza mjue kwamba wachezaji wenyewe ni maprofessionals. Hata kama wakijiongoza wenyewe watashinda tu.

    Pia tunataka kocha atakayefundisha mpira wa kukimbiza kama Arsenal.Wachezaji wa chelsea ni wazuri kama wakifundishwa kucheza attacking football kuliko wanavyocheza defensivevely sasa hivi. Mnakumbuka enzi za Raniel walivyokuwa wanakimbiza. Ngoja aje Rijkaard tuanze game la kufukuzana muone.Hilo linawezekana.Si mnaona jinsi tulivyowakimbiza Rosenborg? Hii inaonyesha kuwa gemu la kukimbiza tunaliweza pia. Najua waosha vinywa watasema sana lakini huo ndio ukweli. Ni swala la wakati.

    Wadau naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...