Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MATANGAZO MENGINE YA BIASHARA YANA BORE HASA HAYA MAKAMPUNI MATAJIRI. VODACOM WAMETOA TANGAZO PICHA YA DADA KAPANDA PIKIPIKI ANASEMA " LEO SIENDI MASOMONI NAENDA KUPUNGA UPEPO" HALAFU YUPO NA JAMAA. HIVI HAPO WANATUFUNDISHA NINI??? WAMENIUZI SANA NAOMBA WEKA PICHA HIYO KWENYE BLOG THEN TUTUME COMMENTS ZIWAFIKIE AU NAOMBA WEBSITE YAO NIWEKE COMMENTS ZANGU

    ReplyDelete
  2. Sijaliona hilo tangazo lakini kama ni hivyo ulivyosema, nakubaliana na wewe kabisa kwamba halijengi jamii tunayotaka.

    Website ya vodacom unaweza ukai search kwenye google. Kama huko ni mbali basi tumia link hii:

    http://www.vodacom.co.tz/docs/contact.asp

    ReplyDelete
  3. Michuzi umekuwa ukiposti sana THE SHIMOS,THE HANDAKIS mpaka kimeanza kueleweka.Sasa naomba uanze kuposti the PORIS,hii ni kutokana na ukweli kwamba yapo mapori mengi sana katikati ya jiji ambayo hayaendelezwi na haya kwaza yanatunza vibaka tu na ni aibu kwa taifa kuwa na mapori katikati ya jiji.Tazama pale pembeni mwa PPF Towers,nyuma ya UMOJA HOUSI kabla ya police post,nyuma ya INTERNATIONAL HOUSE.Michuzi dili hilo hebu tuletee picha za maeneo haya,naogopa lisije likawa ni eneo la baba mkwe wako ikawa taabu ohoo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...