
mtunga mashairi na mghani aliyetukukua mrisho mpoto wa parapanda arts mrisho mpoto amejiunga nasi katika kijiji hiki kwa kujenga kibanda chake kwa nyasi za mashairi kiitwacho www.mrishompoto.blogspot.com
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo ndo anatabasamu kufungua kijiji chake au amekasirika michuzi kumbania maoni yake.
ReplyDeleteSalam zangu kwako eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhh!!!
ReplyDeletePepo haina maana pasipokuwepo jehanam...
Mlitupima viatu mwaka huu..alafu baada ya miaka mitano mtarudi na kutuuliza tena..HIVI MLIKUWA MNATAKA VIATU SIZE GAN?
Sikufundishi mjomba..hizo ni salaam zangu kwako.
Ndimi kwangu pakavu....
Ebwana kama hujasikiliza dude la mmjomba aliloimba huyo bwana akiwa na mwanadada Irene Sanga,litafute.
Ujumbe mtu,yaani hapo ndio utajua Mrisho na Parapanda arts kwa ujumla vipaji vipo.
Endelea kaka tupo pamoJAH
Hey brother Mrisho! mimi binafsi napenda sana mashairi yako lakini sipendi namna unavyoweka sura yako na kulegeza mdomo. Mungu amekupa mdomo mkubwa na lips pana ambazo ukijiweka vizuri utapendeza sana tu, lakini wewe domo unalegeza, sura unaikunja, yani ili mradi vurugu tupu!
ReplyDeleteMtu akisikia mashairi yako kwenye radio atayapenda, lakini akija kuona kwenye tv anaweza kutapika, jaribu kubadilika bwana. unafanya sura inakuwa haivutii kabisa ukiongeza na hiyo minywele, UNATISHA!!!!!
Hey Mrisho, Kila la kheri ndugu yangu,kazi yako nzuri sana ninahakika wewe ni mmoja wa wazalendo kamili hapo Tanzania, Endeleza libeneke, tupo pamoja kama kawaida-Mlewa Uk.
ReplyDeletehebu tuambiane salamu zangu kwako nitaiona mtandao gani?
ReplyDeleteA Dinner with girlfriend
ReplyDeleteA young man goes into a pharmacy and says to the pharmacist, Hello, could you give me condom.
I'm going to my girlfriends for dinner and I think I may be in with a chance!'
The pharmacist gives him the condom and as the young man is going out;
he returns and says, 'Give me another condom because my girlfriend's sister is very cute too.
She always crosses her legs in a provocative manner when she sees me and I think I might strike it lucky there too.'
The pharmacist gives him a second condom and as the boy is leaving he turns back and says,
'Go on, give me one more condom because my girlfriend's mum is still pretty cute and when she sees me she always makes eyes, and since she invited me for dinner, I think she is expecting me to make a move! During dinner, the young man is sitting with his
girlfriend on his left, the sister on his right and the mum facing him. When the dad gets there, the boy lowers his head and starts praying, 'Dear Lord, bless this dinner and thank you for all you give us'. A minute later the boy is still praying; 'Thank you Lord for your kindness.' Ten minutes go by and the boy is still praying,
keeping his head down. The others look at each other surprised and his girlfriend is even more surprised than the others. She gets close to the boy and says in his ear, 'I didn't know you were so religious dear.' The boy replies, 'I didn't know your dad was a pharmacist!'