
mdau kwame mchauru katulete picha ya hawa jamaa ambao wanawakilisha kikundi kinachojulikana kama Moto Kombat kilichopoMbagala Rangi 3 na staili yao inajulikana kama KIGOMA CHA UCHOKOZI. Hii staili ndiyo ambayo kwa sasa ipo juu huko Uswazi na hakuna cha mdundiko walanini, kwani kwa sasa mialiko yote ya harusi, kutoa mwali, siku ya kuzaliwana kuhamasisha na ushangiliaji wa mpira KIGOMA lazima kiwepo. Kinapopigwabasi wadau wanaweza kutembea nacho hata kilometa 10 bila ya kuchoka. Wasaniihawa wanatoa wito kwa jamii kuwapa sapoti kwani wengi wao ni kutoka familiamaskini na wameamua kuwa na njia halali ya kujitafutia riziki badala yaKABALI ZA MBAO.
Michuzi,
ReplyDeleteUkitaka kuona kesi zinazoweza kuchukua mvuto kwa watu wengi kwenda kusikiliza na kuchukua muda mrefu bila kuisha na kukata rufaa nyingi zaidi,basi mlalamikaji awe MHA na mshitakiwa awe MHAYA au kinyume chake.Waha wabishi na Wahaya Much know.Bwanaaaa! nawatania tu mgabho.Ila tukifika mujini niite bulaza Keiiiii.Kwani hapo si umeabyuzi mtu.Nu mugambila stupidi infront of my wife wake.Infwakiti mimi ni..
Majita
Kila la kheri za wazee wa KIGOMA CHA KICHOKOZI.
ReplyDeleteInapendeza sana mnapoamua kujishughulishana sanaa kujipatia kipato kihalali badala ya kuwapora wakina DINAH,Zeze cheni na simu zao kuamua kujitafutia pesa kihalali.
Kamueni sana wanangu