
Kwa niaba ya wanafunzi wa Kitanzania wasomao OSLO - Norway (TASAO). twaipongeza blog yako kwa kufikisha miaka miwili kwani imetujuvya mengi na kwa haraka sana yanayojiri nyumbani TZ na ulimwenguni kwa ujumla!!!
Gud velsigne Issa Michuzi blogg (kinorway) - Mungu ibariki issamichuzi blog. Na pichani ni viongozi wa TASAO
Rais
TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION
TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION
- OSLO
Tel: 22187126
Mob:97434322
Pamoja Daima - Solidarity Forever
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...