balozi wa palestinahapa bongo akimpa zawadi ya gauni miss tz 2007 usiku huu hoteli ya beach comber. kulia ni miss world 2001 ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwazawadia warembo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. alijua ni mdosi anashinda ndio akaja na hiyo zawadi au. Au walishajua matokeo wenzetu kabla ya wengine. Hiyo zawadi ilikua imepangwa kwa huyo msichana sidhani kuna mbongo angevaa hiyo nguo. na saizi kama yake kabisa

    mwaka jana walioa the samething au?

    ReplyDelete
  2. hata tuseme vipi Miss Tz haitarudiwa, ingawa me natamani ingewezekana kurudiwa wakatuletea Mtz halisi na sio mwenye asili ya Kiasia wala Kiyahudi!
    Swali langu ni kuhusu Miss world mwaka huu, si kutakuwa na miss India wawili? maana India watakuwa na wa kwao na sie Tanzania tutakuwa na Mu-India wetu?! ama!
    MBONA MASHAKA HAYA!

    ReplyDelete
  3. Naona hiyo nguo alistahiki kupewa huyo dada wa kibongo ambae almost kifua kiko wazi.

    ReplyDelete
  4. Haya sasa, alijuaje itamtosha kama sio kwamba matokeo yalishapangwa tayari na hii nguo ni size yake kabiisa!

    We hujui nani atashinda, huyo kimbembe na zawadi ya gauni lililokwishashonwa tayari, likiwa dogo, kubwa, fupi ama refu je? (Hapa kuna ulakini), so bore basi kwa kuficha ukweli walau angekuja na kitambaa cha gauni kwamba Miss whatever ashone gauni ama pajama kwani hakujulikana mshindi na kuchelea vipimo!

    Kaazi kweli kweli, mkila na vipofi jamani eh, msiwashike mikonos!

    Kwa hili gauni ndo wameharibu kabisaaaaa!

    ReplyDelete
  5. wewe anon wa hapo juu soma vichwa vya habari b4 u jump into conclusions nani kakwambia huyo mdada wa kushoto ni mbongo?shes miss world 2001 get ya facts right

    ReplyDelete
  6. Kwani wewe anonony wa 2:00PM unaelewaje maana ya neno 'Mbongo?'

    ReplyDelete
  7. nyie hapo juu acheni ujinga .....msiwe kama hamjaenda shule.mamiss wote wanatakiwa wavaa free size..eti amejuaje vipimo wakati mnaona kabisa hilo gauni ni free size EBO..

    ReplyDelete
  8. Hivi Ma-miss hawaruhusiwi kuwa na Wowowo?
    Huyu miss wetu ni FLAT SCREEN - LCD

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...