Home
Unlabelled
wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
INANIKERAAAA!!!HUYU MISS!!
ReplyDeleteNdugu wanakijiji wenzangu,nimepitia maoni ya kila aliyeandika kuhusu huyu miss Patel aka miss TZ.Kwa kweli nimesikitika sana.Kibaya zaidi ni kuona wadanganyika wenzangu baadhi bado wana akili mgando na ndio wa kwanza kusema etI watanzania hatujatembea na tuko karne ya 21 tuache ubaguzi.Kuna watu wanajiita kina MKWELI,CHACHANDU,AMKA NA WENZAO WANATIA KINYAA KWELI na ulimbukeni walionao na fikra zao fupi.
Inasikitisha kabisa kuona mtu mzima na akili zake anafananisha u-miss na timu fulani ya mpira.Eti anatoa mfano wa timu ya taifa ya ufaransa.Huu ni uvivu wa kufikiri.Jamani hivi ni vitu viwili tofauti vyenye kila kitu tofauti.Kwenye soka timu inaweza kumnunua mchezaji na kumpa uraia na akacheza,ndo maana utaona kuna baadhi ya wachezaji wamecheza world cup mbili tofauti wakiwakilisha nchi mbili tofauti.LAKINI KWENYE UMISS HUWEZI.Kama hoja ni kumnunua mchezaji, basi huyu miss Tz Richa amenunuliwa ili aiwakilishe TZ.Hapo tutakubaliana kuwa huyu miss Patel amenunuliwa na ni mshiriki wa kulipwa ili awawakilishe watanzania.Swali,Je watanzania hawapo hadi tutafute wachezaji wa kilipwa???
Mnajifanya mmetembea sana na kujua habari ya USA mnachekesha sana.OBAMA LAZIMA AGOMBEE URAIS.You know what,Marekani hakuna mzawa halisi.Wote ni waamihaji tu.Hebu someni historia ya marekani.Wazawa wa marekani ni wahindi wekundu ambao waliuawa na waliobaki kufukuzwa na kuteketezwa kabisa.So ukiwa marekani huwezi kusema kuna jambo la uzawa hapa.Kila mtu anajiona ana haki na nchi hii.
HATA HIVYO BADO KUNA UBAGUZI WA HALI YA JUU SANA.MWEUPE ANAVYOWABAGUA WEUSI,HEBU ULIZENI HABARI ZA WA-SPANISH HAPA USA WANAVYOBAGULIWA NA KUTHAMINIWA LESS.ETI NINI????Karne ya 21????acheni pumba na kutembea kwenu huko.Hebu uliza ubaguzi uliopo kati ya wamarekani wa magharibi na wa mashariki.Acheni fikra finyu na kujifanya mnajua sana kutembea na kusema ovyo hapa kijijini.
U-miss ni uwakilishi wa kuwakilisha nchi ukibeba mila na desturi za nchi yako na kuzichanganya na nchi zingine duniani ili upate uwiano.Sasa wewe miss Patel unafahamu mila zipi.Ukizaliwa dar na wewe ni mkurya utafundishwa nyumbani mila za kikurya,ukizaliwa marekani na wewe ni mtanzania utafundishwa mila za kiTZ na ukizaliwa Tanzania na wewe ni MHINDI nyumbani utafundishwa mila za kihindi.Haina ubishi.Sasa huyu miss wenu mpaka hapo anawakilisha nini??Hivi itokee wamuulizie ataje rangi za bendera ya taifa na ataje zinawakilisha nini na yeye pale yuko upande gani atajibu nini.
Mnaohoji wabunge na mawaziri wadosi poleni kwa kuwa na fikra finyu.Uwaziri na ubunge si umiss.Hayo ni mambo ya sheria na katiba ya nchi zinasemaje na kamwe umiss haumo katika sheria na katiba za nchi.
Wajameni hivi mnajua historia ya wana wa Israel walivyokombolewa toka utumwani Misri???Ok,walikaa utumwani kwa muda gani.Je mliona lilipokuwa linakuja suala la utaifa (U-Israel) ilikuwa inakuwaje?? Au tuseme BIBLIA NAYO INA UBAGUZI WA RANGI?Sasa kanisani kila siku na sadaka unaenda kufanya nini wewe mkweli na wenzako??Tusifiche bwana huyu miss Patel (Siwezi kumwita tena miss TZ) hafai kuiwakilisha Tanzania.
Naamini kila lilio kubwa lilianza likiwa dogo.Hebu hoja hii tuianzie ikiwa ndogo.Hivi ikitokea kukawepo miss makabila Tanzania,Je,kuna uwezekano mchaga aliyezaliwa bukoba akagombea miss wahaya??
WaTz mnaotoa hoja humu na kuanza na kila kitu "Hatujatembea" acheni hizo.Huo ni ushamba.Naamini nyie mnaojifanya mmetembea ndo wakuja kabisa.Ninashikwa na hasira mtu akijifanya yuko ughaibuni-marekani na kuongea uongo.Kama uko marekani lazima unaujua fika ubaguzi wa hapa.Yani ubaguzi hadi kwenye Elimu.Njoo na vi-degree vyako vya bongo utafute kazi uone!!!Wao wanathamini sana vitu vyao vya hapahapa.Mnaniudhi nyieeeeee.Niliwahi kushuka Ujerumani siku moja,Duuuu,basi bwana.Ule si ubaguzi.Nikashuka marekani(si kukaa)Loooh, haitishi.Sasa nyie mliotembea mnamaanisha nini na mmetembea wapi????
Mimi nimetembea sana.Toka majita-Chitare, makojo,bwasi,kwikerege,busungu,kurugongo hadi leo niko BUGUNDA utaniambia nini???
Michu eeh,mi nashauri wanaojifanya wametembea au kukaa ughaibuni wawe wanataja na majina yao na wanakaa wapi isije ikawa wanasoma kwenye ramani tuuuu au kupewa story na washikaji na kutusumbua humu kijijini.Mimi aaaah,navua zangu samaki. Na naipenda bongo we acha tu.Hasa Majita.Wanaumeeeeee.
Majita.
hii ni moja tu ya sababu nyingi sana zinayonifanya niichukie Tanzania, hakuna haki,hivi wewe toka lini umeona miss India mweusi,hata kama ni utandawazi bongo noma,anyway huyo demu mwenyewe siyo mzuri kabisa, angekuwa mzuri afadhali, lakini ndo bongo hiyo, hivi na hawa kina dada hawajachoka tu, kila siku upendeleo, jamani hiyo Tanzania you guyz can have it mimi naona nitabaki huku huku maana sasa hadi kwenye mamiss kina patel, shule pale shaban robert wametukatalia weeeena ukipata basi manyanyaso kibao,
ReplyDeleteYani nawasapoti wote miotoa maoni hapo juu. Huyo Miss Patel a.k.a Miss Tanzania sijui kwakwel. Simfagilii hata chembe.
ReplyDeleteJAMANI ACHENI UBAGUZI,URAIA TUNAUTOA WENYEWE ILI WATU KAMA HAWA WAWE NA URAIA SAWA IKIFIKIA WAKATI KAMA HUU NDIO TUNAANZA MASWALI MENGI.ACHENI USHAMBA HUYO NI MTANZANIA HALISI. PILI ANGALIENI WANAODHAMINI PIA MKIAMBIWA HAPA WABONGO WADHAMIMI WAREMBO WATAPATA MADAFUU TUUU SASA MMEONA KUNA MAGARI NA HELA NYINGI MNALETA UBAGUZI SIO. HUYO NI MISS TANZANIA HALALI ATAKAEBISHA ANGOJE MWAKANI....
ReplyDeleteLast Word!!!
ReplyDeleteTunataka mbantu awakilishe nchi FULL STOP
TUKIMALIZA KUWABAGUA WAHINDI TUTAWABAGUA WANYAMWEZI WAMWERA WANYAKYUSA,WAHA.WAJALUO WA MUSOMA,WADIGO WATANGA.NK.UKISIKIA UKABURU NDIYO HUU,HUYU ANAYESEMA KWAMBA WABUNGE NI TOFAUTI NA UREMBO ANASHANGAZA KIPI NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI UBUNGE NA AU UREMBO,MAANA WALE WABUNGE WAHINDINA WAARABU WANAJUA SIRI ZA NCHI WANAWEZA WAKATOA SIRI HIZO NJE SASA SIJUI UTOFAUTI WAKE NI NINI?NIMEONA MREMBO MMOJA ANALIA KWA SABABU MREMBO ALIYETEULIWA NI MUHINDI HII NI HATARI.HEBU NIWAULIZE NYINYI MNAOPINGA MHINDI KUWA MISS TANZANIA AKIENDA HUKO MISS WORLD AKAFANYA VIZURI HILO TAJI LITAENDA NJE?FIKIRIENI ACHENI UBAGUZI.CHUKUA MFANO WA SOUTH AFRICA MBONA KUNA MWAKA MZUNGU AMEENDA KUWAKILISHA MISS WORLD AU WAO HAWAJUI UTAMADUNI WAO?NAJUA KUNA WATU WATASEMA CASE YA SOUTH AFRICA NI TOFAUTI NA YA KWETU,SAWA LAKINI MREMBO YULE ANAWEZA KUUEELEZEA UTAMADUNI WA KIZULU KWA SABABU ANAUJUA KAKULIA KWENYE MAZINGIRA YALE,KWA HIYO HATA MISS WETU ANAWEZA KUUELEZEA UTAMADUNI WETU TUMPE NAFASI,HILI LA UBAGUZI NDILO LINALOWETESA WARUNDI NA WARWANDA,WAKATI WENZETU WANAJARIBU KUUKWEPA UKABILA SISI TUNAUKUMBATIA HII NI HATARI
ReplyDeleteAnonymous 09:37, Tulia baba ndo ukubwa huo. Mi nipo hapa Kurugee nashangaa mambo yanavyoenda huko Mijini (Dar).
ReplyDeleteKamati ya Mamiss na the so called Judge wameamua kuiuza nchi, mbaya zaidi kwa wahindi! Tutapona kweli?
Hapo sasa ikifikia hatua akaulizwa mila na taratibu za taifa lake, na mambo ya historia ya nchi yake, nina hakika hapatatosha.
Kali zaidi atapoulizwa chakula cha asili, weweeeee, mapili pili hayo!
Hatutachoka kupiga kelele jamani, huyu Miss India hapana!
haya ngoja mi niwahi zangu mnadani nikafungue genge langu (Mama Lishe)
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
Hongera Miss Tanzania (msukuma) Well, kwangu hilo sio tatizo kuwa muhindimsukuma, kwani hata SA pia wamesha wahi au mara nyingi wana peleka watu wa aina hiyo, pia kwenye BBA sasa hivi Angola wamepeleka mzungu. So hilo nafikiri sio tatizo sana ila akatuwakilishe kama Mtanzania. TATIZO langu au swali langu ni kwamba huyu dada Miss Tanzania, alishawahi kutuwakilisha kama Miss Earth wakati fulani na kurudi mtupu bila hata na chochote, sasa iweje leo hii tumchague tena akatuwakilishe wakati alishawahi kutuwakilisha na hakushinda?
ReplyDeletePia Swali langu ni kwa kamati ya Mh Lundenga, Kama Huyu alishawahi kuwa Miss Earth, sheria ya Miss Tanzania inawezaje kumkubali mtu ambaye alishawakilisha wahi kutuwakilisha?
To all u naive people whats the fuss if a black, indian, white or half cast wins they all human beings and are all the same acheni ubaguzi wote nyie washamba for a change lets see huyu muhindi ataweza kuiwakilisha vipi miss tanzania akienda miss world manake dada zetu wote wamechemsha.
ReplyDeletekwanza i dont blame the girl kwani mli specify watu gani kuingia kwenye miss Tanzania?sasa kama mtoto wa watu kashinda i think its fair enough labda dada zetu hawakuwa na quality za kuwa miss Tanzania ths year sorry mates they would have to try harder next yr.lol
mijitu mingine bado inaishi enzi gani sijui? nani kasem,a mtanzania lazima uwe mweusi tiiii kama makaa...ubongo wenu umejaa akili za kibaguzi na dunia ya leo hakuna nafasi za mawazo kama yenu nyie wakulima wawili hapo juu,yaani majitu mpaka yanatia kichefuchefu na unaweza kukuta yamesoma mpaka chuo kikuu lakini yanawaza kama yametoka migombani leo na hayajawahi kuona mtu wa rangi nyingine,lakini uzuri mijitu kama hii haina nafasi kwenye jamii na ndio maana huyo dada kashinda ...sasa jiueni au muanzishe yakwenu na mseme washiriki lazima wafanane na nyie na wawe weusi kama makaa
ReplyDeleteWe anoni wa kwanz kabisa umeonyesha ni jinsi gani either uhuji unasema nini au umeamua kwa makusudi kabisa kujisemea. Kuhusu soka ukisha chezea nchi moja kwenye qualifying mechiz au woldcup yenyewe huruhusiwi kuchezea nchi ingine. kama unafikiri kuna mchezaji ata mmoja kisha chezea nchi zaiddi ya moja aghalabu miaka ya karibuni hebu mtaje.
ReplyDeleteHahahaha Mnapiga keleleeee Hii Ni Kama Mpira Refa Akiamua Kaamua kateni rufaa kama imewagusa..Mmesahau Mwenyenacho anaongezewa na asie nacho ndo.... Huyo Kwao wanazo Na Kaongezewa M8 na gari juu sasa kelele za nini? Mbona BBA tanzania Imepeleka Mnyarwanda hamsemi kitu? Tulizeni vinywa Hivo NCHI INAWENYEWE
ReplyDeleteNyie wabaguzi akili zenu wote mdebwedo! Wakati yuko kwenye kinyanganyiro mlikuwa wapi? Acheni unafiki mnajifanya mna uchungu na uatanzania hakuna lolote kwanza wengi wenu mko nje ya nchi mmekimbia nini? Bora hata huyu mhindi yuko nchini anachangia uchumi wa nchi. Kama mnapenda Tanzania rudini bongo! Watanzania kwa unafiki bwana! Mmenikera hasa hili jama linaloitwa Majitaa we umetoka upande gani wa Tanzania? Nina wasiwasi na uraia wako watanzania sio wabaguzi hivyo! We ni mtutsi! Rudi kwenu!
ReplyDeleteYule miss kapita vigezo vyote. Kushinda nongwa. Mna maana gani? U-miss una nini special? Kama ni deal kiasi hicho mbona serikali iliufunga 1994? Hii ni burudania tu! Ni mzungu gani au mwafrika gani asiyejua Tanzania kuna wahindi na waarabu? Wamekuwepo toka karne na karne. Leo hii akienda miss world nani atashangaa? Atakayeshangaa hajui historia ya Tanganyika. Wahindi hao mnaowasema wamekuwa wafadhili wakubwa wa timu zetu, wametoa ajira nyingi tu kwa watanzania. Acheni ubaguzi. Baba wa Taifa alishasema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu! Watu mnajifanya mna uchungu sana na Tanzania wanafiki! Kwanza wengi wenu mnaochangia mnajua mila na desturi ya mtanzani? Ni ipi hiyo? Nchi yetu ina makabila zaidi ya 120 na kila kabila ina mila na desturi zake. Kama kuna mambo ya jumla yanayohusu nchi naamini kabisa huyo dada anayafahamu tena unaweza kuta kuliko tunajidai wazawa!
Wakati wa mchakato mlikuwa wapi? Ameshinda nongwa! Roho mbaya tu! Mnajifanya mnapenda weusi wenzenu, mnawapenda wapi. Mbona maofisini ni ubaguzi mtindo moja, na wote ni weusi!
Ukipanda ndege msichana au mhudumu mweusi wala hakuthamini kama anavyomthamini mweusi, huo upendo kati yetu uko wapi?
Tujenge nchi kwa pamoja tuache ubaguzi. U-miss hauna cha zaidi kama ni kubeba bendera ni weusi wengi sana wamebeba bendera ktk nchi za wazungu na nchi hizo zimejulikana kupitia weusi. Cha maana dunia ya leo ni kumtumia mtu yeyote potential kwa mslahi ya nchi yetu. Huyo miss atashindwaje kutaja rangi za bendera ya Taifa wakati wazungu wenyewe wanazifahamu na maana zake. Na zaidi ya yote ukienda kwenye CIA facts file mambo yote hayo unayakuta.
SIPENDI UBAGUZI WA AINA YOYOTE!
MAJITA
ReplyDeleteUME NIKUMBUSHA MBALI SANA KAKA!
MAMBO YA MAJITA,BWASI,MGANGO,MAKOKO,MWIGOBERO,MUGANGO,NYEGINA HAO WANATAKA KULETA ETI POZI WAMETAMBEA WAKATI KWAO KWENYE HAWAPAJUI.
LEO SINA LA KUONGEA JUU YA HUYU MISS
MUNGU IBARIKI TANZANIA
miss tz tabasam lake sijalizimia
ReplyDeleteMh wadanganyika bwana yaani ndio maana kweli wazungu wanaamini watu weusi ni kama watoto wadogo, ubongo wao ni kama watoto wadogo.
ReplyDeleteHebu someni tu hii barua ya enzi ya utumwa America. (Poleni kwa wasiojua kizungu)
Ndugu mliokerwa na ushindi wa Miss Patel, msishangae ni kwa nini wadanganyika hawaelewi RACISM.
This speech was delivered by Willie Lynch on the bank of the James River in the colony of Virginia in 1712. Lynch was a British slave owner in the West Indies. He was invited to the colony of Virginia in 1712 to teach his methods to slave owners there. The term “lynching” is derived from his last name.
[beginning of the Willie Lynch Letter]
Greetings,
Gentlemen. I greet you here on the bank of the James River in the year of our Lord one thousand seven hundred and twelve. First, I shall thank you, the gentlemen of the Colony of Virginia, for bringing me here. I am here to help you solve some of your problems with slaves. Your invitation reached me on my modest plantation in the West Indies, where I have experimented with some of the newest, and still the oldest, methods for control of slaves. Ancient Rome would envy us if my program is implemented. As our boat sailed south on the James River, named for our illustrious King, whose version of the Bible we cherish, I saw enough to know that your problem is not unique. While Rome used cords of wood as crosses for standing human bodies along its highways in great numbers, you are here using the tree and the rope on occasions. I caught the whiff of a dead slave hanging from a tree, a couple miles back. You are not only losing valuable stock by hangings, you are having uprisings, slaves are running away, your crops are sometimes left in the fields too long for maximum profit, you suffer occasional fires, your animals are killed. Gentlemen, you know what your problems are; I do not need to elaborate. I am not here to enumerate your problems, I am here to introduce you to a method of solving them. In my bag here, I HAVE A FULL PROOF METHOD FOR CONTROLLING YOUR BLACK SLAVES. I guarantee every one of you that, if installed correctly, IT WILL CONTROL THE SLAVES FOR AT LEAST 300 HUNDREDS YEARS. My method is simple. Any member of your family or your overseer can use it. I HAVE OUTLINED A NUMBER OF DIFFERENCES AMONG THE SLAVES; AND I TAKE THESE DIFFERENCES AND MAKE THEM BIGGER. I USE FEAR, DISTRUST AND ENVY FOR CONTROL PURPOSES. These methods have worked on my modest plantation in the West Indies and it will work throughout the South. Take this simple little list of differences and think about them. On top of my list is “AGE,” but it’s there only because it starts with an “a.” The second is “COLOR” or shade. There is INTELLIGENCE, SIZE, SEX, SIZES OF PLANTATIONS, STATUS on plantations, ATTITUDE of owners, whether the slaves live in the valley, on a hill, East, West, North, South, have fine hair, course hair, or is tall or short. Now that you have a list of differences, I shall give you an outline of action, but before that, I shall assure you that DISTRUST IS STRONGER THAN TRUST AND ENVY STRONGER THAN ADULATION, RESPECT OR ADMIRATION. The Black slaves after receiving this indoctrination shall carry on and will become self-refueling and self-generating for HUNDREDS of years, maybe THOUSANDS. Don’t forget, you must pitch the OLD black male vs. the YOUNG black male, and the YOUNG black male against the OLD black male. You must use the DARK skin slaves vs. the LIGHT skin slaves, and the LIGHT skin slaves vs. the DARK skin slaves. You must use the FEMALE vs. the MALE, and the MALE vs. the FEMALE. You must also have white servants and overseers [who] distrust all Blacks. But it is NECESSARY THAT YOUR SLAVES TRUST AND DEPEND ON US. THEY MUST LOVE, RESPECT AND TRUST ONLY US. Gentlemen, these kits are your keys to control. Use them. Have your wives and children use them, never miss an opportunity. IF USED INTENSELY FOR ONE YEAR, THE SLAVES THEMSELVES WILL REMAIN PERPETUALLY DISTRUSTFUL. Thank you gentlemen.”
LET’S MAKE A SLAVE
It was the interest and business of slave holders to study human nature, and the slave nature in particular, with a view to practical results. I and many of them attained astonishing proficiency in this direction. They had to deal not with earth, wood and stone, but with men and, by every regard, they had for their own safety and prosperity they needed to know the material on which they were to work, conscious of the injustice and wrong they were every hour perpetuating and knowing what they themselves would do. Were they the victims of such wrongs? They were constantly looking for the first signs of the dreaded retribution. They watched therefore with skilled and practiced eyes, and learned to read with great accuracy, the state of mind and heart of the slave, through his sable face. Unusual sobriety, apparent abstractions, sullenness and indifference indeed, any mood out of the common was afforded ground for suspicion and inquiry. Frederick Douglas LET’S MAKE A SLAVE is a study of the scientific process of man-breaking and slave-making. It describes the rationale and results of the Anglo Saxons’ ideas and methods of insuring the master/slave relationship. LET’S MAKE A SLAVE “The Original and Development of a Social Being Called ‘The Negro.’” Let us make a slave. What do we need? First of all, we need a black nigger man, a pregnant nigger woman and her baby nigger boy. Second, we will use the same basic principle that we use in breaking a horse, combined with some more sustaining factors. What we do with horses is that we break them from one form of life to another; that is, we reduce them from their natural state in nature. Whereas nature provides them with the natural capacity to take care of their offspring, we break that natural string of independence from them and thereby create a dependency status, so that we may be able to get from them useful production for our business and pleasure.
CARDINAL PRINCIPLES FOR MAKING A NEGRO
For fear that our future generations may not understand the principles of breaking both of the beast together, the nigger and the horse. We understand that short range planning economics results in periodic economic chaos; so that to avoid turmoil in the economy, it requires us to have breadth and depth in long range comprehensive planning, articulating both skill sharp perceptions. We lay down the following principles for long range comprehensive economic planning. Both horse and niggers [are] no good to the economy in the wild or natural state. Both must be BROKEN and TIED together for orderly production. For orderly future, special and particular attention must be paid to the FEMALE and the YOUNGEST offspring. Both must be CROSSBRED to produce a variety and division of labor. Both must be taught to respond to a peculiar new LANGUAGE. Psychological and physical instruction of CONTAINMENT must be created for both. We hold the six cardinal principles as truth to be self-evident, based upon following the discourse concerning the economics of breaking and tying the horse and the nigger together, all inclusive of the six principles laid down above. NOTE: Neither principle alone will suffice for good economics. All principles must be employed for orderly good of the nation. Accordingly, both a wild horse and a wild or natur[al] nigger is dangerous even if captured, for they will have the tendency to seek their customary freedom and, in doing so, might kill you in your sleep. You cannot rest. They sleep while you are awake, and are awake while you are asleep. They are DANGEROUS near the family house and it requires too much labor to watch them away from the house. Above all, you cannot get them to work in this natural state. Hence, both the horse and the nigger must be broken; that is breaking them from one form of mental life to another. KEEP THE BODY, TAKE THE MIND! In other words, break the will to resist. Now the breaking process is the same for both the horse and the nigger, only slightly varying in degrees. But, as we said before, there is an art in long range economic planning. YOU MUST KEEP YOUR EYE AND THOUGHTS ON THE FEMALE and the OFFSPRING of the horse and the nigger. A brief discourse in offspring development will shed light on the key to sound economic principles. Pay little attention to the generation of original breaking, but CONCENTRATE ON FUTURE GENERATION. Therefore, if you break the FEMALE mother, she will BREAK the offspring in its early years of development; and when the offspring is old enough to work, she will deliver it up to you, for her normal female protective tendencies will have been lost in the original breaking process. For example, take the case of the wild stud horse, a female horse and an already infant horse and compare the breaking process with two captured nigger males in their natural state, a pregnant nigger woman with her infant offspring. Take the stud horse, break him for limited containment. Completely break the female horse until she becomes very gentle, whereas you or anybody can ride her in her comfort. Breed the mare and the stud until you have the desired offspring. Then, you can turn the stud to freedom until you need him again. Train the female horse whereby she will eat out of your hand, and she will in turn train the infant horse to eat out of your hand, also. When it comes to breaking the uncivilized nigger, use the same process, but vary the degree and step up the pressure, so as to do a complete reversal of the mind. Take the meanest and most restless nigger, strip him of his clothes in front of the remaining male niggers, the female, and the nigger infant, tar and feather him, tie each leg to a different horse faced in opposite directions, set him afire and beat both horses to pull him apart in front of the remaining niggers. The next step is to take a bullwhip and beat the remaining nigger males to the point of death, in front of the female and the infant. Don’t kill him, but PUT THE FEAR OF GOD IN HIM, for he can be useful for future breeding.
THE BREAKING PROCESS OF THE AFRICAN WOMAN
Take the female and run a series of tests on her to see if she will submit to your desires willingly. Test her in every way, because she is the most important factor for good economics. If she shows any sign of resistance in submitting completely to your will, do not hesitate to use the bullwhip on her to extract that last bit of [b----] out of her. Take care not to kill her, for in doing so, you spoil good economics. When in complete submission, she will train her offsprings in the early years to submit to labor when they become of age. Understanding is the best thing. Therefore, we shall go deeper into this area of the subject matter concerning what we have produced here in this breaking process of the female nigger. We have reversed the relationship; in her natural uncivilized state, she would have a strong dependency on the uncivilized nigger male, and she would have a limited protective tendency toward her independent male offspring and would raise male offsprings to be dependent like her. Nature had provided for this type of balance. We reversed nature by burning and pulling a civilized nigger apart and bullwhipping the other to the point of death, all in her presence. By her being left alone, unprotected, with the MALE IMAGE DESTROYED, the ordeal caused her to move from her psychologically dependent state to a frozen, independent state. In this frozen, psychological state of independence, she will raise her MALE and female offspring in reversed roles. For FEAR of the young male’s life, she will psychologically train him to be MENTALLY WEAK and DEPENDENT, but PHYSICALLY STRONG. Because she has become psychologically independent, she will train her FEMALE offsprings to be psychologically independent. What have you got? You’ve got the nigger WOMAN OUT FRONT AND THE nigger MAN BEHIND AND SCARED. This is a perfect situation of sound sleep and economics. Before the breaking process, we had to be alertly on guard at all times. Now, we can sleep soundly, for out of frozen fear his woman stands guard for us. He cannot get past her early slave-molding process. He is a good tool, now ready to be tied to the horse at a tender age. By the time a nigger boy reaches the age of sixteen, he is soundly broken in and ready for a long life of sound and efficient work and the reproduction of a unit of good labor force. Continually through the breaking of uncivilized savage niggers, by throwing the nigger female savage into a frozen psychological state of independence, by killing the protective male image, and by creating a submissive dependent mind of the nigger male slave, we have created an orbiting cycle that turns on its own axis forever, unless a phenomenon occurs and re-shifts the position of the male and female slaves. We show what we mean by example. Take the case of the two economic slave units and examine them close.
THE NEGRO MARRIAGE
We breed two nigger males with two nigger females. Then, we take the nigger male away from them and keep them moving and working. Say one nigger female bears a nigger female and the other bears a nigger male; both nigger females—being without influence of the nigger male image, frozen with a independent psychology—will raise their offspring into reverse positions. The one with the female offspring will teach her to be like herself, independent and negotiable (we negotiate with her, through her, by her, negotiates her at will). The one with the nigger male offspring, she being frozen subconscious fear for his life, will raise him to be mentally dependent and weak, but physically strong; in other words, body over mind. Now, in a few years when these two offsprings become fertile for early reproduction, we will mate and breed them and continue the cycle. That is good, sound and long range comprehensive planning.
WARNING: POSSIBLE INTERLOPING NEGATIVES
Earlier, we talked about the non-economic good of the horse and the nigger in their wild or natural state; we talked out the principle of breaking and tying them together for orderly production. Furthermore, we talked about paying particular attention to the female savage and her offspring for orderly future planning, then more recently we stated that, by reversing the positions of the male and female savages, we created an orbiting cycle that turns on its own axis forever unless a phenomenon occurred and reshifts positions of the male and female savages. Our experts warned us about the possibility of this phenomenon occurring, for they say that the mind has a strong drive to correct and re-correct itself over a period of time if it can touch some substantial original historical base; and they advised us that the best way to deal with the phenomenon is to shave off the brute’s mental history and create a multiplicity of phenomena of illusions, so that each illusion will twirl in its own orbit, something similar to floating balls in a vacuum. This creation of multiplicity of phenomena of illusions entails the principle of crossbreeding the nigger and the horse as we stated above, the purpose of which is to create a diversified division of labor; thereby creating different levels of labor and different values of illusion at each connecting level of labor. The results of which is the severance of the points of original beginnings for each sphere illusion. Since we feel that the subject matter may get more complicated as we proceed in laying down our economic plan concerning the purpose, reason and effect of crossbreeding horses and niggers, we shall lay down the following definition terms for future generations. Orbiting cycle means a thing turning in a given path. Axis means upon which or around which a body turns. Phenomenon means something beyond ordinary conception and inspires awe and wonder. Multiplicity means a great number. Means a globe. Crossbreeding a horse means taking a horse and breeding it with an ass and you get a dumb, backward, ass long-headed mule that is not reproductive nor productive by itself. Crossbreeding niggers mean taking so many drops of good white blood and putting them into as many nigger women as possible, varying the drops by the various tone that you want, and then letting them breed with each other until another circle of color appears as you desire. What this means is this: Put the niggers and the horse in a breeding pot, mix some asses and some good white blood and what do you get? You got a multiplicity of colors of ass backward, unusual niggers, running, tied to backward ass long-headed mules, the one productive of itself, the other sterile. (The one constant, the other dying, we keep the nigger constant for we may replace the mules for another tool) both mule and nigger tied to each other, neither knowing where the other came from and neither productive for itself, nor without each other.
CONTROLLED LANGUAGE
Crossbreeding completed, for further severance from their original beginning, WE MUST COMPLETELY ANNIHILATE THE MOTHER TONGUE of both the new nigger and the new mule, and institute a new language that involves the new life’s work of both. You know language is a peculiar institution. It leads to the heart of a people. The more a foreigner knows about the language of another country the more he is able to move through all levels of that society. Therefore, if the foreigner is an enemy of the country, to the extent that he knows the body of the language, to that extent is the country vulnerable to attack or invasion of a foreign culture. For example, if you take a slave, if you teach him all about your language, he will know all your secrets, and he is then no more a slave, for you can’t fool him any longer, and BEING A FOOL IS ONE OF THE BASIC INGREDIENTS OF ANY INCIDENTS TO THE MAINTENANCE OF THE SLAVERY SYSTEM. For example, if you told a slave that he must perform in getting out “our crops” and he knows the language well, he would know that “our crops” didn’t mean “our crops” and the slavery system would break down, for he would relate on the basis of what “our crops” really meant. So you have to be careful in setting up the new language; for the slaves would soon be in your house, talking to you as “man to man” and that is death to our economic system. In addition, the definitions of words or terms are only a minute part of the process. Values are created and transported by communication through the body of the language. A total society has many interconnected value systems. All the values in the society have bridges of language to connect them for orderly working in the society. But for these language bridges, these many value systems would sharply clash and cause internal strife or civil war, the degree of the conflict being determined by the magnitude of the issues or relative opposing strength in whatever form. For example, if you put a slave in a hog pen and train him to live there and incorporate in him to value it as a way of life completely, the biggest problem you would have out of him is that he would worry you about provisions to keep the hog pen clean, or the same hog pen and make a slip and incorporate something in his language whereby he comes to value a house more than he does his hog pen, you got a problem. He will soon be in your house.
Additional Note: “Henty Berry, speaking in the Virginia House of Delegates in 1832, described the situation as it existed in many parts of the South at this time: “We have, as far as possible, closed every avenue by which light may enter their (the slaves) minds. If we could extinguish the capacity to see the light, our work would be complete; they would then be on a level with the beasts of the field and we should be safe. I am not certain that we would not do it, if we could find out the process and that on the plea of necessity.” From Brown America, The story of a New Race by Edwin R. Embree. 1931 The Viking Press.
Hakika wabongo nimewanyooshea mikono!. ISIWE NONGWA KWA MTANZANIA MWENYE ASILI YA ASIA KUWA MSHINDI. Nina imani kabisa hata kama mshindi angekuwa mweusi mwenzetu bado wabongo tungewasha moto kuwa mweusi huyu amependelewa ilitakiwa ashinde yule. Mifano halisi ilikwishajitokeza kwenye mashindano mengi ya miss TZ kuhusu "fulani kapendelewa", "mshindi wa tatu, wenginne mshindi wa nne" ndiyo alistahili kuwa Miss. This is shame!. Tena unakuta tano bora wote ni weusi lakini UPENDELEO NA UBAGUZI unaendelea kama kawa. TUWE NA CULTURE YA KUKUBALI MATOKEO NA TUACHANE NA FIKRA NA ITIKADI ZA KIBAGUZI!
ReplyDeleteKARAGABAHO
Nyie wabongo kavu kabisa mnafikiri watanzania wote tuna rangi nyeusi mbona sisi wengine ni weupe nani watanzania halisi kutoka Magu? au kwa sababu huyu binti ni Indosukuma?
ReplyDeleteSijawahi kusikia mkilalamika pale timu ya kriketi ya Tanzania inapokuwa inakabidhiwa bendera kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa ikiiwakisha Tanzania, mbona hamjasema?
Na ile timu imekuwa na watanzania wenye asili ya asia?
Nina hakika kwa jinsi mnavyojua kupepeta mdomo, Taifa Stars ikifungwa na Msumbiji mtaongea a different story, mbona wachawi nyie? mmeneda shule mambo ni kama hivi, je msingeenda kabisa ingekuwaje?
Ningeona ni kitu cha ajabu kabisa kama ushindi wowote ungekuwa unatolewa kwa kigezo cha huyu ni 'port' tumpe ushindi. Enzi hizo zimekwisha, ushindi apewe mtu anayestahili tu, hata kama mwakani wajitokeze watanzania wenye asili mbalimbali tu na hata za kiingereza, kijerumani nk wengi tu kadri itakavyowezekana na kama yupo mwenye sifa akishinda apewe ushindi awakilishe nchi. Mambo ya kupeana madhara yake tumeyaona.
Hiyo speech ya Willie Lnch ni offensive kwa watu weusi wote duniani. Lakini hasa ndo chanzo cha waMarekani weusi kuwa na hali duni. Pia ile neno Lynching (kuyonga weusi) imetokana na huyo Willie Lynch. Lazima huyo jamaa yuko MOTONI (Hell)!
ReplyDelete