paparazi wakirekodi tukio la miss tz 2007 kukabidhiwa zawasi zao usiku huu hoteli ya beach comber

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Amini usiamini.Huyo mshikaji hapo nyuma atapiga picha nzuri sana ya visogo vya watu.Urefu nao una karaha zake!!!!

    ReplyDelete
  2. hahahaaaa zawasi.

    ReplyDelete
  3. EVANS BUKUKU unafanya nini hapo?!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...