
Ras Makunja na The Ngoma Africa toka Ujerumani wanakutakia kila la Heri katikakutimiza miaka miwili ya blog yako!hongera sana Michuzi.
pata vitu free: http://www.myspace.com/thengomaafrica
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi!Ras makunja
ReplyDeletemzee kichwa ngumu !umetuandalia nini? baada ya mfungo wa Ramadhani!
mimi unaniacha hoi pale unapoamua
kuwashikia bango watu kwa kupitia nyimbo zako!
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
mshikaji Ras makunja
ReplyDeletehuu mdundo wenu!mnajaribu kuwatisha wanamziki wenzenu!
sasa vipi?karipio lako kwa "Mama Kimwaga"tumekusikia na zile mbuyu
ulizowakaangia wala Rushwa nazo zimefanikiwa ?unakuja na songi lipi tena ?la kuzua gumzo mtaani?
maana katika wanamziki wenye GUBU
wewe No.1