Ras Makunja na The Ngoma Africa toka Ujerumani wanakutakia kila la Heri katikakutimiza miaka miwili ya blog yako!hongera sana Michuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hi!Ras makunja
    mzee kichwa ngumu !umetuandalia nini? baada ya mfungo wa Ramadhani!
    mimi unaniacha hoi pale unapoamua
    kuwashikia bango watu kwa kupitia nyimbo zako!
    ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

    ReplyDelete
  2. mshikaji Ras makunja
    huu mdundo wenu!mnajaribu kuwatisha wanamziki wenzenu!
    sasa vipi?karipio lako kwa "Mama Kimwaga"tumekusikia na zile mbuyu
    ulizowakaangia wala Rushwa nazo zimefanikiwa ?unakuja na songi lipi tena ?la kuzua gumzo mtaani?
    maana katika wanamziki wenye GUBU
    wewe No.1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...