
Kila ninapofungua blogu yetu siku hizi, naona wanakufagilia sana toka pande zote za dunia yetu hii, hususan kazi yako nzuri sana, bidii na jasho unayotoa mchana na usiku, kuendeleza blogu yako, kutuletea habari na matukio ndani na nje ya TZ. Kwa kweli inafurahisha sana na tunachota faida kubwa kabisa siku hadi siku.
Nami nakufagilia wawawa toka home hapa Ruvuma na hasa Peramiho, ambapo unasema hujawahi kukanyaga ardhi yetu ya hapa Peramiho. Asante kwa bidii na jitihada zako na karibu kwetu!
Polykarp Mlugaluga
Cura ut valeas, Polykarp
===========================
Bro. Polykarp Stich OSB
St. Benedict's Abbey
P.O.Peramiho,
Cura ut valeas, Polykarp
===========================
Bro. Polykarp Stich OSB
St. Benedict's Abbey
P.O.Peramiho,
Tanzania,
East Africa
E-mail: polykarp@peramiho.org
E-mail: polykarp@peramiho.org
hongera sana na wewe pia poly na pia asante sana kwa juhudu zako na upendo ulinao wa kuwasaidia wazee, ndugu,marafiki na jaama zetu wote hapo peramiho, ubarikiwe daima amen.
ReplyDeletesalaam kutoka New York.
Kweli na yeye peramiho amedata na vya mablogu,chondechonde baba ake.
ReplyDelete