Halo Kaka Michu,
Kila ninapofungua blogu yetu siku hizi, naona wanakufagilia sana toka pande zote za dunia yetu hii, hususan kazi yako nzuri sana, bidii na jasho unayotoa mchana na usiku, kuendeleza blogu yako, kutuletea habari na matukio ndani na nje ya TZ. Kwa kweli inafurahisha sana na tunachota faida kubwa kabisa siku hadi siku.
Nami nakufagilia wawawa toka home hapa Ruvuma na hasa Peramiho, ambapo unasema hujawahi kukanyaga ardhi yetu ya hapa Peramiho. Asante kwa bidii na jitihada zako na karibu kwetu!
Polykarp Mlugaluga


Cura ut valeas, Polykarp
===========================
Bro. Polykarp Stich OSB
St. Benedict's Abbey
P.O.Peramiho,
Tanzania,
East Africa

E-mail:
polykarp@peramiho.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hongera sana na wewe pia poly na pia asante sana kwa juhudu zako na upendo ulinao wa kuwasaidia wazee, ndugu,marafiki na jaama zetu wote hapo peramiho, ubarikiwe daima amen.
    salaam kutoka New York.

    ReplyDelete
  2. Kweli na yeye peramiho amedata na vya mablogu,chondechonde baba ake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...