Home
Unlabelled
sauda jazzmin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani makubwa haya. Kumbe Sauda Simba Kilumanga naye ni mwanamuziki !!!
ReplyDeleteMi ndio maana huwa nasema mfumo wetu wa elimu hauwatendei watu haki. Ona sasa kachukua Masters of Science, na kafanya kazi kwenye macorporation weee kumbe moyo wake uko hasa kwenye myuzik.
Go girl!! You are really an African daughter of many facets.
I am waiting for your next surprise in case you haven't reached your pinnacle yet.
Damn i didnt that she could sing,jazz nzuri sana..ebu nipe habari mimi mdau wa Birmz..huwa anafanya show zake wapi? maana mziki wake na ki-date unaendana sana.hehe..keep up mami
ReplyDeleteMdau--UK
sauda,hivi ni kweli umeacha kazi barrick?unaishije sasa mjini?
ReplyDeleteSauda kilumanga I adore u 100% nakumbuka nyumbani tulikuwa tukiangalia news ukitangaza with ur confidence My dad used to give u positive comments ur just urself if Tanzania women could atleast follow ur foot steps even 0.5 we would have been so far.even ur sister who works for KLM she is superb any ways I should stop here best of luck waosha vinywa kazi kwenu sasa na wivuuuu badala ya kufuata maendeleo
ReplyDeleteMichuzi,ina maana huna taarifa za mkutano wa akina Slaa huko Temeke?Tunajua wewe CCM lakini sie wasomaji wa blogu yako tuna itikadi mbalimbali,hebu jaribu kututendea haki.Naona coverage yako kwenye mambo ya wapinzania ni haba sana.
ReplyDeletekunradhi wadau naomba nitoke nje ya mstari. naomba nizungumzie the just ended uchaguzi wa CCM ngazi ya mkoa ambapo kila mkoa ulichagua mwenyekiti na mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa (m nec). sasa look at this: mbeya (mwenyekiti nawab mulla), kigoma (m kiti premji, m nec sheni), shinyanga (m nec al hilal),tabora (m nec rostam), singida (m nec mo dewji) na morogoro (m nec abood).
ReplyDeletewadau what is common kati ya hawa mabwana? hii trend inaonyesha nini? binafsi naogopa tena naogopa sana.bro michu,tujadili na wala usiogope.
Watanzania walalahoi wanajua ni nani anawajali!
ReplyDeleteNdio maana ya kuwachagua. Labda tujiulize, kwa nini wanawashinda wa-Matumbi?
Achana na huyo limbukeni Kabwe Zitto...kwenda kila mahali shauri ya hasira.
Yeye. Mbowe ba Mzee wa Kiraracha wanafanya politicking (siasa)!
anon wa sept 15,11:21:00 what is common ni kwamba hao wote wana asili ya asia. sasa hebu tufanye simple arithmetic,tanzania tuna mikoa 20, hivyo ukijumlisha tutakuwa na wenyeviti na wa nec jumla 40. hapo tayari tuna wa asia wanec na wenyeviti 7,percentage wise ni almost 20% wakati kati ya watanzania 40 million na ushehe wao hata laki 5 hawafikii(about 2% ya population).kwa hiyo 2% wameamua ku muscle into political power kwa kutumia nguvu ya pesa.2015 sitashangaa kama uwanja wa taifa ataapishwa HE PRESIDENT PRATAP SHAH MOHANILAL PATEL,5TH PRESIDENT OF URT! watch this space!
ReplyDeleteDADA SAUDA NAKUZIMIKIA SANA MY DEAR DADA. MAFANIKIO YAKO NI CHANGAMOTO TOSHA KWA SISI AKIDADA+ AKINA MAMA WA TANZANIA. TUSIBWETEKE. ASANTE DADA
ReplyDeleteJAMANI KUULIZA si ujinga, hivyo tanzania ni mtu gani yuko katika right frame of mind, kusikiliza JAZZ?????
ReplyDelete