Home
Unlabelled
strathmore
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hayo mabegi ni uniform au mbona yanafanaa au CCM walikuja uko wakawapa wakati wa kampeni za uchaguzi?
ReplyDeleteHuyo dada mmoja mwenye tshirt nyeupe ni Judith Rukinisha? namfananisha
ReplyDeleteHiyo ni nchi gani bado wanatumia hiyo mifuko? jamani hiyo mifuko ni hatari kwa kila hali except kubebea hivyo mlivyobebea.
Ni mtazamo tu....msinijie juu enyi wadau wa muchuzi, especialy wakati huu tunaposherehekea miaka miwili ya kuzaliwa kwa glob yetu hii. Hongera Michuzi
Oyaa washakaji wa Strathmore mambo vip?
ReplyDeleteMmetoka sana sana ila kaushauri JAMANI ACHENI MATUMIZI ya MIFUKO YA RAMBO(plastick) ni hatari kwa uhai wa mazingira yetu.Teeeee teeeeee
Msimind kimya kimya tu nawatania sio kweli