
hoteli maarufu ya sea cliff leo imeshika moto na kuungua asilimia kama 75 ya paa lake la makuti. inasemekana moto huo ulianza saa kumi na mbili jioni na chanzo chake hakijajulikana ingawa kuna taarifa tata kwamba aidha ulianzaia jikoni ama chumba cha wafanyakazi. hakuna aliyejeruhiwa katika moto huo ambao ulichukua vikosi vyote vya zimamoto vya umma na binafsi kuuzima. picha hii tumeletewa namdau lolen opanga aliyetumia simu yake ya mkononi
Duh this is shocking sanaa,hii ilikuwa sehemu ya kula bata tukitoka kwa hawa wazungu, ebu tueleze kama Java nayo imeungua au vipi?Maana 75% its big man,
ReplyDeleteAlafu Michuzi sijapenda mchezo wako wewe,comment yangu kuhusu liverpool umeichunia sio,poa tuu lakini gundua kwamba Arsenal moto hauzimiki ule wee ona tuu,
Mdau B/ham
Damn,at least no-one got hurt.
ReplyDeleteDinah moto unawaka naon aupo kimya ua ndio umeshavuta shuka?
ReplyDeleteNasubiria makomenti yako m2 wangu yako juu!!
it's sad for those with businesses there...i would know!!michuzi according to my sources(trying their best to save business) most of the pool area catch fire, calabash and it was on it's way to the casino but didn't get there!!it's sad...
ReplyDeleteYou drop the ball brother! If breaking news was about Rachia whatever her name is, Twanga pepeta na mawowo yao, Mpaka njia etc you would have been the 1st to report the news! but when it comes to real news you're nowhere to be seen! Thanks God for Jambo forums they were the 1st one to report the news. Sometimes you need to be serious!
ReplyDeleteKaka Misoup! nasikia watu wa bima hawatoi fidia kwa majengo yaliyoezekwa kwa makuti au nyasi? sasa itakuwaje hapo sea cliff?
ReplyDeleteanyway maadam hakuna majeurihi...tuombe mungu atuepeusha na majanga haya
Kaka Misoup! nasikia watu wa bima hawatoi fidia kwa majengo yaliyoezekwa kwa makuti au nyasi? sasa itakuwaje hapo sea cliff?
ReplyDeleteanyway maadam hakuna majeurihi...tuombe mungu atuepeusha na majanga haya
Tunashukuru Mungu hakuna majeruhi.
ReplyDeleteSitapenda kujua owner wa hiyo hotel lakini kama ni mmoja ya wale waliosaini mikataba inayoumiza wananchi wa Tanzania basi, wajue kuwa Mungu wa karne hii ni kijana anajibu hapo hapo hasubiri karne ipite.
Kuna somo nimelipata kwa kiongozi wangu wa dini leo kuwa, pale unapopokea mshahara wa 200,000/= then ukatumia madaraka yako/nafasi yako kumdhulumu mnyonge 1,000/= aidha kwa rushwa au unyang'anyi na hapo pato lako likawa 201,000/= basi pato lote limelaaniwa na adhabu yake itadumu kizazi hadi kizazi kwa kazi ambayo utafanyia na hizo pesa, iwe kujenga nyumba, kununua gari nk.
Poleni wafanyakazi wa SeaCliff tunawaombea msipate usumbufu wowote katika ajira yenu
NI kweli kabisa kaka kila atakaye mchinja mwenzie kwa upanga bas naye atachinjwa kwa upanga
ReplyDeletesichukui nafsi hii kumuhukumu owner wa hotel BALI NAMPA POLE na ni moja ya maisha KWAN MTATIZO YAPO KWA AJILI YA watu na watu ndio mimi wewe na yeye NA HELA INATAFUTWA KILA SIKU kusolve MATATIZO hivyo huo SIO MWISHO bali ni mapito tuu NA INAWEZEKANA ukapata kikubwa zaid ya mwanzo
x_x