Vijana wa FC Kilimanjaro tunakupa hongeraaaa kwa kutimiza miaka 2,Mungu azidi kukupa umri mrefu tuweze kupata nasaha na busara kutoka kwako pamoja na habari muhimu za nyumbani na duniani kwa ujumla.Tunapatikana www.kilimanjaroclub.com nchini Sweden.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. aminia wabongo wa sweden hiko kikosi kweli cha mpira nawaona jamil na hamis walikua wachezaji wa moro united

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...