Je wewe ni msanii? Hauna kundi? Ungependa kutoka kisanaa?
Majibu yako yote yanajibiwa na YAMOYA ART GROUP.Kundi la ki-Tanzania kwa kushirikiana na THE SUNY kutoka Kenya.
Wanatafuta wasanii wenye vipaji ambao hawajawahi kuigiza sehemu yoyote ili waandaliwe kwa sanaa ya maigizo ya filamu.Kikubwa ni nidhamu na kujituma.Wanapatikana Club Afri Center,Msimabzi center,makabala na Lamada Hotel,Ilala.
Mwisho wa kupokea wasanii ni tarehe 25/09/2007. Njoo wewe, yule na wao.Usimsahau rafiki yako!
Karibu YAMOYA ART GROUP, tujenge mapinduzi ya kweli ya sanaa ya Tanzania inayokua kwa kasi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...