mtoto wa mdau xqhosa jana kala tu-nondozz ya elimu ya awali katika shule ya chekechea ya pond spring, dar. hongera sana reggie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hahaah reggie ndugu yangu mungu akujalie uendelee hivyohivyo, kila kizuri akupe wewe vibaya akuepushe ila sikio hizo na sura unafaa ze comedy na kina joti pale.

    ReplyDelete
  2. hongera reggie.namna hiyo baba angu!

    ReplyDelete
  3. Haya yote ni manjonjo yasiyokuwa na maana. Sijui tumeiga wapi haya madoido. Mtoto wa chekechea anakuwa amesoma nondoz gani mpaka anagraduate kama sio dili za kuwatafutia ajira na kuwaweka mjini waoka keki na washona majoho?

    Kwangu mimi naona huu ni upuuzi tu na wala siwezi kumgrajuetisha mtoto wangu hata kama ningekuwa na pesa nyingi kiasi gani!

    ReplyDelete
  4. mwendo huo hu o Reggie. Wengine hatukuwa na shule za majoho tulivyoukua wadogo. Hivyo motisha iwe hilo joho ...mpalka uyavae yote wala asikwambie mtu kila level wewe kusanya tu. na matunda yake utajaona. Hongera big boy

    ReplyDelete
  5. Hongera dogo...

    Sasa mimi kinanishangaza kitu kimoja, hivi kweli ni fasheni au hata nondo ya elimu ya awali inaitwa DIPLOMA!!

    Hivi Tanzania tuna system inayoweka standards huko mashuleni kuanzia vidudu mpaka secondary ambapo madent wanagraduate na kuvaa majoho?? Mbona wanashusha sana thamani ya hivi vitu?????? Wadau mnasemaje kuhusu hili.... shule ya vidudu cheti kimeandikwa DIPLOMA.... watoto wanamaliza elimuza awali wanavaa MAJOHO ya degreee// je ni system ipi inafuatwa??

    Michuzi fuatilia hili...

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni namna ya kuitangaza hiyo shule au biashara nyingine husika kama si kwamba wameiga mahali!!Si vibaya mtoto huyu asifiwe na kupewa moyo,lakini haya ya kuvisha majoho watoto wadogo baada ya nursery schoooool..!!
    Nimewahi kuona nafikiri shule fulani huko Tennesse,USA watoto wamevishwa majoho baada ya kumaliza nursery school hata wakati huo nilishangaa na sikuelewa umuhimu!

    ReplyDelete
  7. Diploma is a document certifying the successful completion of a course of study.

    Sio mbaya kuwapa watoto. Na kama nchi yetu ni kama cheti cha uhamisho vile. Kinaonyesha mtoto amemaliza vidudu

    ReplyDelete
  8. Mimi sioni ubaya wowowte wa kuwapa diplima au majoho. kama hayo majoho yako affordable hamna ubaya. Ni motivation kwa elimu yao. Mimi nayafagilia sana. kwanza michuzi ungetengeneza hela sana kwa studio yako kuweka photo shoot. Watoto kibao waje wapate kumbukumbu nzuri ya year book photo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...