Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani wadau namna hii tutafika kweli?...halafu kwa ulimbukeni tulionao, eti hata rais wetu anadiriki kutembelea New York Stock Exchange na kutaka wawe na ubia na Dar es salaam Stock Exchange....inawezekna kweli wadau?
    Haya bwana mie yangu macho!

    ReplyDelete
  2. hata electronic board hawawezi kununua,hawa watu ni super bogus na vitu kama ndio kurudi nyuma maana haya machaki yanaonyesha tuu ujinga unaoendela hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...