wadau mtembeleeni dogo fede hapa kwa katuni bomba http://www.artsfede.blogspot.com/ dizaini hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kazi nzuri bwana fede,nimeifurahia sana na kuipenda infact maoni yangu ni kwamaba uchoraji wako wa cartoon za editorial ni mzuri kuliko hizo painting za water color
    nafikiri kwa mambo ya water colour waachie wenyewe subjects zako na staili na skills zako kwa kweli bado saana ni kiwango cha chini sana haya ndio maoni yangu
    lakini cartoon zako kwa kweli ni bab kubwa kwa maoni yangu nafikiri hata kipanya haoni ndani (staili na emotions) zinaonekana very professional
    kitu kimoja tuu ningependa kusema jitahadi ziwe sefl expressive usifanya kama Masoud kujaza maneno meengi
    overall, your work ios excellent man
    great job!
    Raceznobar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...