Home
Unlabelled
vigogo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eeh bwana eeh yaani mmenenepeana hivyo au kwa kiswahili chema mmekuwa sana. Mpekwiva pia yaani mmependeza. Kila la kheri ktk kazi zenu.
ReplyDeleteGood job!
ReplyDeleteNaomba kuuliza hivi hawa hawapatikani mtandaaoni kama BBC Swahili. Nina miaka na miaka sijasikiliza DW. Asante in advance kwa atakayenijibu. Mdau
Muuliza swali wa 12:56,ingia www.dw-world.de/kiswahili then fuata maelekezo....click sikiliza vipindi(juu kulia)....chagua matangazo ya asubuhi au matangazo ya mchana au matangazo ya jioni.
ReplyDeleteBy the way,ukitaka kitu chochote sio lazima upate website ya taasisi/company husika,wewe ingiza jina kwenye search engine yoyote kama vile Google utapata unachokitafuta.
Jamaa wa DW Idhaa ya Kiswahili wanaroho nzuri sana. Mungu wazidishie. Yaani ukienda Ujerumani ukapata bahati kwenda Bonn utajisikia upo home wanakukaribisha hadi unasema kweli Watanzania tumebarikiwa. Nasi tunawatakia mfungo mwema
ReplyDeleteMdau hapo juu, hawa jamaa unaweza ukawasikiliza live hapa http://www2.dw-world.de/kiswahili/ Mimi huwa nawatembelea mara kwa mara! yaani si mchezo.
ReplyDeleteBy
Kidume
Tanzania imejaliwa na waandishi mahli pamoja na watanzagaji makini,ndo maana DW na BBC inapendwa saana kuliko redio za bongo.
ReplyDeleteLakini naomba nitoe langu moyoni, kati ya watangazaji mahli saana wanaonipaga mwashasha basi ni Othman Miraji na Oumilkheir Hamidou, hawa watangazaji huwa wana mvuto wao husio na kifani...ukisikiliza jinsi Miraji anavyomudu kipindi cha Meza ya duara na Oumilkheir kwenye sport news basi ndo utajua nasema ktiu gani...
Michuzi please nimwagie picha zao hawa jamaa....
HABARI YAKO?,MR.MICHUZI,WATANZANIA WALIO WENGI WANAPENDELEA KUSIKILIZA IDHAA YA DEUTSCHE WELLE ZAIDI NA BAADHI WAKISIKILIZA IDHAA ZINGINE,LAKINA MIMI BINAFSI NAIPENDA SANA IDHAA YA DW,KILA NIPATAPO WASAA HUWA NASIKILIZA WALAU DK MBILI TATU JAPOKUWA HUWA NATINGWA NA KAZI BADO TU NASIKILIZA.INGAWA NASIKILIZA SANA NINGELIPENDA SANA NIWAONE WATANGAZAJI HAO WA REDIO,HAPO NIMESHAWAONA MOHAMED ABDULRAHMAN NA ABOUBAKARY LIONGO ,NINATAMANI HAO WALIOBAKIA NAO PIA NIWAONE.PLS...MR.ISSA MICHUZI NIPATIE PICHA ZA WATANGAZAJI WENGINE.
ReplyDeleteHABARI,DW NDIO YENYEWE ISO MBELE DAIMA,NINGEPENDA NIPATIWE PICHA ZA WAANDISHI HABARI WA DW WA IDHAA YA KISWAHILI.PLS...MR.ISSA MICHUZI NIPATIE HIZO PICHA.
ReplyDeletelau mungeawajua habari zao, hamuwezi hata kutakawatizama, walevi ubaya na umalaya mwingi, wake zao pia wamewashinda!!!
ReplyDelete