vigogo vya idhaa ya kiswahili ya sauti ya ujeremani naibu mkuu wa idhaa hiyo mohamed abdulrahman (shoto) na mhariri aboubakry liongo wakiwa mtaani jijini bonn baada ya kuvuma kwa kishindo katika matangazo ya jioni ya redio hiyo wanawatakia wafungaji wote ramadhan karim

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Eeh bwana eeh yaani mmenenepeana hivyo au kwa kiswahili chema mmekuwa sana. Mpekwiva pia yaani mmependeza. Kila la kheri ktk kazi zenu.

    ReplyDelete
  2. Good job!
    Naomba kuuliza hivi hawa hawapatikani mtandaaoni kama BBC Swahili. Nina miaka na miaka sijasikiliza DW. Asante in advance kwa atakayenijibu. Mdau

    ReplyDelete
  3. Muuliza swali wa 12:56,ingia www.dw-world.de/kiswahili then fuata maelekezo....click sikiliza vipindi(juu kulia)....chagua matangazo ya asubuhi au matangazo ya mchana au matangazo ya jioni.
    By the way,ukitaka kitu chochote sio lazima upate website ya taasisi/company husika,wewe ingiza jina kwenye search engine yoyote kama vile Google utapata unachokitafuta.

    ReplyDelete
  4. Jamaa wa DW Idhaa ya Kiswahili wanaroho nzuri sana. Mungu wazidishie. Yaani ukienda Ujerumani ukapata bahati kwenda Bonn utajisikia upo home wanakukaribisha hadi unasema kweli Watanzania tumebarikiwa. Nasi tunawatakia mfungo mwema

    ReplyDelete
  5. Mdau hapo juu, hawa jamaa unaweza ukawasikiliza live hapa http://www2.dw-world.de/kiswahili/ Mimi huwa nawatembelea mara kwa mara! yaani si mchezo.
    By
    Kidume

    ReplyDelete
  6. Tanzania imejaliwa na waandishi mahli pamoja na watanzagaji makini,ndo maana DW na BBC inapendwa saana kuliko redio za bongo.
    Lakini naomba nitoe langu moyoni, kati ya watangazaji mahli saana wanaonipaga mwashasha basi ni Othman Miraji na Oumilkheir Hamidou, hawa watangazaji huwa wana mvuto wao husio na kifani...ukisikiliza jinsi Miraji anavyomudu kipindi cha Meza ya duara na Oumilkheir kwenye sport news basi ndo utajua nasema ktiu gani...

    Michuzi please nimwagie picha zao hawa jamaa....

    ReplyDelete
  7. HABARI YAKO?,MR.MICHUZI,WATANZANIA WALIO WENGI WANAPENDELEA KUSIKILIZA IDHAA YA DEUTSCHE WELLE ZAIDI NA BAADHI WAKISIKILIZA IDHAA ZINGINE,LAKINA MIMI BINAFSI NAIPENDA SANA IDHAA YA DW,KILA NIPATAPO WASAA HUWA NASIKILIZA WALAU DK MBILI TATU JAPOKUWA HUWA NATINGWA NA KAZI BADO TU NASIKILIZA.INGAWA NASIKILIZA SANA NINGELIPENDA SANA NIWAONE WATANGAZAJI HAO WA REDIO,HAPO NIMESHAWAONA MOHAMED ABDULRAHMAN NA ABOUBAKARY LIONGO ,NINATAMANI HAO WALIOBAKIA NAO PIA NIWAONE.PLS...MR.ISSA MICHUZI NIPATIE PICHA ZA WATANGAZAJI WENGINE.

    ReplyDelete
  8. HABARI,DW NDIO YENYEWE ISO MBELE DAIMA,NINGEPENDA NIPATIWE PICHA ZA WAANDISHI HABARI WA DW WA IDHAA YA KISWAHILI.PLS...MR.ISSA MICHUZI NIPATIE HIZO PICHA.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2009

    lau mungeawajua habari zao, hamuwezi hata kutakawatizama, walevi ubaya na umalaya mwingi, wake zao pia wamewashinda!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...