
jk na msafara wake katika maongezi na wabunge weusi huko washington. tembelea www.tztimes.com kwa picha zaidi na habari
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Issa najua hii hautoibandika lakini poa tuu, umejifunza kutoka katika chama chenu cha "sisiumu" lol sory, "nyinyihumu".
ReplyDeleteHuyu JK ni miongoni mwa watu "the least articulate politian on earth". Hivi huyu akikutana na watu wenye akili huwa anaongea nini? Watu wenye akili wanataka kusikia "substance" na huyu JK wenu as a politician, he is one of those "with no substance".
Haya, wenyewe mnasema kwamba ana mvuto, certainly he is not charismatic.
Consistence? zero.
Conviction? zero.
Intelligence? zero.
Na bora aende huko huko marekani kwa watu wanaohitaji kumtumia. Akijipendekeza kwenda kwenda kwa mtu kama Fidel Castro, ataambia kakojoe ukalale huko.
Nimeona kwenye article fulani JK anawahimiza wananchi waache tabia ya kupeleka watoto kusoma nje ya nchi. Eti kuna shule nzuri sana hapa nyumbani. Tusikimbize watoto kwa majirani majirani zetu.
ReplyDeleteSwali langu na hoja ni kuwa mtu anatakiwa kupractise what he preaches...Mtoto wake si majuzi tu karudi nyumbani baada ya kumaliza shule nje ulaya? Au yeye hayuko included?
NA HUYO ASKARI WA VITA ANAFANYA NINI HAPO NYUMA? ANAYEDHANI KUNA KITU CHA MAANA ANAFANYA ANYOOSHE MKONO!
ReplyDeletesitetei hoja yake ila 4 ur info mwanae ni graduate wa UDSM, nje alienda for masters kama wengi wetu tulivyo nje tukifanya masters ingawa si watoto wa vigogo.
ReplyDeleteKUPELEKA MTOTO KENYA AMA UGANDA KWA SHULE YA MSINGI AMA SEKONDARI NI KUISHIWA MAWAZO NA ULIMBUKENI WA IMANI POTOFU KUWA KUSOMA NI KUJUA KIINGEREZA.BADO NAAMINI TUNA SHULE NZURI SANA ZENYE ELIMU NZURI TENA KWA GHARAMA NAFUU!!
ReplyDeleteMheshimiwa Rais,with due respect hapa ADC wako (bodigadi) anaonekana kabisa yuko out of place.siku nyingine bora akabaki nje,honestly.Otherwise hongera kwa kukutana na hawa wabunge bila shaka watatusaidia kwa hili au lile.
ReplyDeleteWewe unayesema alisoma mlimani na akafanya master nje ya nchi. Mlimani hawana masters program?
ReplyDeleteWabongo kujifanya kujua kiiiilaaaaa kituuuuu... yaani wewe huyo unayemwita bodigadi unajua kazi yake ama unajisemea tu kufurahisha jinywa lako???? Uliza sio unapayuka tu. Na wewe mithupu piga chini maoni kama haya. Kwa taarifa yako huyo anaitwa Aide de Camp ambaye lazima awe nyuma ya raisi wakati wote wa shuhuli za kikazi, na sio bodigadi. bodigadi kwanza hawavai yunifomu. Acheni hizo wabongo kujifanya kujua na kukosoa kila kitu na kujiumbua...
ReplyDeleteJK haoni aibu jamaa kamsimamia nyuma wakati waliopo ndani ya mkutano ndio wanaheshimika kuliko yeye. Bush mwenyewe hasimamiwi kihivyo, mambo hayo wakafanye Africa huko, anatutia aibu hapa.
ReplyDeleteMichuzi najua hii hutabandika, lakini Kikwete kwani lazima abebe White-Look-Alike akienda nje? Anaogopa hataonekana kwa weusi wake. Pole zake we. Marekani wanacho wanachokitaka maybe a camp for us Army or something. asifikiri anakaribishwa bure. Marekani raisi ni Thug number moja na the whole govt ni Huslers tu. They will hussle anything that moves. He better be careful. Ain't nothing free in this land of opportunity, the last time black people got a free ride from whites they ended up on the shores of america as being called niggers.
ReplyDeleteUkweli lazima usemwe....Kikwete ama JK hana lolote....lip service kwa sana, nchi inatokomea kizani! Sijasoma hicho kitabu cha jamaa...Tanzania to the promiseland....lakini nadhani alitakiwa kuandika Tanzania kuelekea mwituni!
ReplyDeleteHuyu sio bodigadi wewe Tarehe September 20, 2007 1:38:00 AM EAT, kama mdau mmoja alivyosema huyo anaitwa Aide de Camp (ADC) kama ulivyoweka wewe kwa kifupi, kwa kiswahili anaitwa Mpambe wa Raisi. Huyu jamaa kazi yake ni kushika dokomenti za Raisi. Mfano raisi anavyokuja kuzungumza au kutoa hotuba huyo jamaa kazi yake ni kushika haya makaratasi au kupokea kitu kama Raisi amepewa na kuweka inapotakiwa. Hana kazi ingine yeyote labda hapo ndio maana unamwona yupo out of place kwa sababu ameshaweka makaratasi mbele ya JK na yupo amesimama tu
ReplyDeleteNAKUONA BIBI LUCY OWENYA-NDESAMBURO MBUNGE VITI MAALUM CHADEMA. KUMBE UPO MANTONI. HAYA LETE MPYA YA SAFARI YENU KWA FREEMAN
ReplyDeletemichuzi ipo kazi kweli kweli hapa nahisi blogi hii ina kila type ya watu, vichanga,vijana,wazaa,majambazi,mataahira,majiniasi.................................mi nicheke tu
ReplyDeleteMASTERS udsm ZIPO, ITAKUCHUKUA MIAKA 3 HADI 4 kuipata, walimu wanokoooo, nenda kajaribu au uliza waliosoma hapo, especially sheria au science ndio ujue kimbembe chake.On top of that wana limited number ya wanafunzi kwa kila mwaka kutoka na uhaba wa walimu (supervisors)
ReplyDeleteLakini jamani hata mimi hapo ninatatizo kidogo. Huyo ADC akishamaliza kazi ya kuweka mikaratasi yake si atoke huko nyuma, mbona maraisi wangine huwa hawaonekani na wamesimamiwa na watu wa uniform za kijeshi namna hiyo. Au mpambe wa rais lazima awe mjeshi au avae kijeshi.
ReplyDeleteMasuala ya protocol yana kazi kweli kweli.
Mzee wa TBS
of course haya mambo ya ma ADC basically ni symbolism tu ya power,hasa katika bara la africa na latin america.asia,europe na north america hawana mambo haya.hivyo hoja ya mdau wa sept 20,saa 2:17 kwamba LAZIMA huyo bwana ADC awepo haina mantiki.we can do without him kama wanavyofanya nchi nyingine,au mdau anataka kusema kuwa gordon brown na george bush ambao hawana hawa ma ADC wanabeba wenyewe dokumaa.
ReplyDeleteMaraisi wa Kiafrika ndivyo walivyo wakipigiwa kura utawasikia tunapendwa tumechaguliwa na wananchi kwa asiklimia 90+ Lakini wakishachaguliwa utakuta wanatembea na ulinzi wa ajabu! Wanaogopa nini wakati wamechaguliwa kwa kura nyingi? Na wao ni chaguo pendwa la watu?
ReplyDeleteHata hapo Raisi haamini ulinzi wa wenyeji wake waliomwalika kwenye eneo hilo hadi aende na mtu mwenye magwanda ya JWTZ hadi chumba cha majadiliano .Hivi angekaa nje bila Uniform kungekuwa na tatizo gani?
Au kama anataka Bouncer angempeleke hata huyo Zungu shule ya judo na karate halafu anazuga kwa kuingia naye mkutanoni kama meya wa jiji wakati in-fact si meya hasa bali ni bouncer wa raisi tatizo liko wapi