
baba wa taifa atakumbukwa daima. na je unakumbuka kwamba tarehe 14 mwezi huu tunaadhimisha siku yake na kwamba siku hiyo pia huhitimisha mbio za mwenge na kuwa mojawapo ya sikukuu kubwa za taifa kunenzi mwalimu julius kambarage nyerere. kujua ama kujikumbusha sikuu za taifa bongo bofya hapa
ISSA UMEPENDEZA
ReplyDeleteMWALIM ATAKUMBUKWA KWA MENGI SANA.
ReplyDeleteILA SIO WOTE WANAJIFANYA KUMKUMBUKA
NI WATU WAZURI.LA HASHA.WAPI..
WENGINE HUJIDAI KUMUENZI HUKU WAKIKWEPA KODI,WEZI WA FEDHA ZA WANYONGE,MATAPELI WAKUBWA.ANGEKUWAPO MWALIM MWENYEWE ASINGEKUBALI.ILA NDIO BASI TENA HAKUNA KAMA YEYE.WALIOBAKI WENGI SASA NI MAFISI YA KUTUPA BWANA.
HALAFU WE MNDENGEREKO KAKA MISUPU
UKIBANIA MAONI HAYA.NTAKASIRIKA
MALIK-KAMPALA
Cool Michu... Baba wa Taifa Hayati Mwl JK Nyerere tutamkumbuka kwa hekima zake ambazo kama ni kuishi bado zinaishi na kuyazungumza maisha ya leo...TZ
ReplyDeleteNinaomba kuwasilisha hoja kwamba kwa mwendo wa Sirikali yetu ya awamu ya nne....mwendo wa kushindwa kuitimiza ahadi kuu ya ''maisha bora kwa kila mtanzania'' Tuwaombe watanzania wenye uwezo na wenye nia njema na nchi yetu hii... wadhamini vipindi vingi maalum katika tv zetu hapa bongo...kurusha hotuba za Mwl Nyerere hususan zenye kuonyesha njia, kukemea maovu na kukumbusha maadili ya viongozi na hata sisi wanachi tuna wajibu gani kwa nchi yetu... wajitokeze ili elimu hii ifikishwe kwa wananchi wengi iwezekanavyo... hiii itatusaidia kuwa na uelewa wa mambo hususan kufanya uamuzi bora wakati wa kuchagua viongozi wtu... asante. Naomba kuwasilisha...
WE ANON WA KWANZA HUYO SIO MISUPU WEWE.MISUPU ANA MUSCULAR BODY HUJUI ANAPIGA CHUMA SIKU HIZI? ATAENDELEA BAADA YA MWEZI WA RAMADHAN.YUPO FIT KINYAMA.HANA NYAMA NYAMA KAMA KATIKA HII PICHA
ReplyDeleteSAMIR