



alianza lady jd na machozi band, akafuatia tid na top band, akaja banana zorro na b band na sasa ni enika akiwa na breeze band katika orodha ya wanamuziki wa kizazi kipya wenye kumiliki bendi zao. mwanadada enika, ambaye alitamba na kibao chake cha 'baridi kama hii' leo ametoka rasmi kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya mtandao ya kamponi ya a-link telecom uliofanyika hoteli ya kempinski. na endapo kama uwezo mkubwa wa kuimba aliouonesha hii leo ni jambo la kuweza kuhadithia, basi waliomtangulia enika katika mambo ya laivu sasa wakae sawa....
Tehe teh tee!
ReplyDeleteKaka huyo jamaa anaepiga vigoma kama tumba ndogo, kama staili/mapozi yenyewe ya kupiga hivyo vigoma ndio hivyo kila siku, sasa mpaka akija kuacha hiyo kazi si atakuwa na KIBIONGO cha kudumu?
Mweeh!
Hey whats up Enika a.k.a. Atu? Greetings from NY, your sister G.
ReplyDeleteBig up.
Good stuff to hear Enika going places... this girl is extremely talented Tanzania's music scene hasn't seen a singer like her yet... I am not sure of her stage performance though but I know for sure this girl can sing and she can strike some really high notes...
ReplyDeleteKaka Michu any heads up band itakuwa ina perform wapi?
Wishing Enika all the best...
kaka michuzi Enika ndio aliyeanza band yake kabla ya wote mimi mwenyewe nilikuwa bongo 2005 niliona live pale blue pams
ReplyDeleteHUYU DADA KILE KIBAO CHA BARIDI KAMA HII SAFI SANA NAFIKIRI HII BENDI NI TOP #1 BONGO. BIBIE MREFU NA ANAVIUNGO VYA KUPENDEZA.."ANGALIA HILO GAUNI KWA MAKINI NA UANGALIFU MKUBWA"
ReplyDelete