alianza lady jd na machozi band, akafuatia tid na top band, akaja banana zorro na b band na sasa ni enika akiwa na breeze band katika orodha ya wanamuziki wa kizazi kipya wenye kumiliki bendi zao. mwanadada enika, ambaye alitamba na kibao chake cha 'baridi kama hii' leo ametoka rasmi kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya mtandao ya kamponi ya a-link telecom uliofanyika hoteli ya kempinski. na endapo kama uwezo mkubwa wa kuimba aliouonesha hii leo ni jambo la kuweza kuhadithia, basi waliomtangulia enika katika mambo ya laivu sasa wakae sawa....


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tehe teh tee!
    Kaka huyo jamaa anaepiga vigoma kama tumba ndogo, kama staili/mapozi yenyewe ya kupiga hivyo vigoma ndio hivyo kila siku, sasa mpaka akija kuacha hiyo kazi si atakuwa na KIBIONGO cha kudumu?
    Mweeh!

    ReplyDelete
  2. Hey whats up Enika a.k.a. Atu? Greetings from NY, your sister G.
    Big up.

    ReplyDelete
  3. Good stuff to hear Enika going places... this girl is extremely talented Tanzania's music scene hasn't seen a singer like her yet... I am not sure of her stage performance though but I know for sure this girl can sing and she can strike some really high notes...

    Kaka Michu any heads up band itakuwa ina perform wapi?

    Wishing Enika all the best...

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi Enika ndio aliyeanza band yake kabla ya wote mimi mwenyewe nilikuwa bongo 2005 niliona live pale blue pams

    ReplyDelete
  5. HUYU DADA KILE KIBAO CHA BARIDI KAMA HII SAFI SANA NAFIKIRI HII BENDI NI TOP #1 BONGO. BIBIE MREFU NA ANAVIUNGO VYA KUPENDEZA.."ANGALIA HILO GAUNI KWA MAKINI NA UANGALIFU MKUBWA"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...