Engineer Fuko kutoka Istanbul Kama kawaida nawatakia waislamu wote iddy njema na tudumishe umoja.Hiyo picha ni Blue Mosque(1609-1616) ulijengwa enzi za Ottoman Empire(1453-1923)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana manake sisi tunaoishi USA ...mh...hata kwenye news sijasikia kuwa kuna sherehe hii. Ni picha zako tu zinatukumbusha kuwa leo ni Iddi.

    ReplyDelete
  2. 3:35 AM kuna mwanga hivyo, basi huko Istanbul kiboko!!

    ReplyDelete
  3. aminia engineer wangu.nami nakutakia eid njema na jamaa wote wa hapo mitaa ya kwenu.baada ya kulikamata gamba lako la computer ndani ya ubatani,nakutakia kila la heri ktk life yako.allah alete atupe wepesi nasi,amin.wise A

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...