mwalimu akiwa na samora machel, graca machel na maria nyerere enzi hizo baada ya ukombozi wa msumbiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. we realy miss u mwalimu!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. du huyu Graca alikuwa bomba jamani
    naona hata mzee kifimbo udenda unamtoka hapo

    ReplyDelete
  3. dah!!! nguo walizovaa Graca na Maria si ndio mishono ya siku hizi jamani.. wamependeza mashallah hasa Graca.

    ReplyDelete
  4. Mwalimu was funny...ana crack jokes na Graça.

    Mwl. You look good Graça!
    Graça - Thank you Mwl! (anajibu kinoma noma)

    Nyuma ya Mrs. Machel kwa mbali anaonekana secret service amevaa miwani nyeusi anashika mdomo akisema "Mwl. is really funny".

    RIP Mwl.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...