kilaji kipya aina ya wild africa chenye koti la chui chui kimeingia bongo na kimeshaanza kupanda chati kwa ladha yake ambayo ni kama kahawa ya maziwa na hakikawii kukufikisha kingi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka michuzi je ni product ya TX hiki

    ReplyDelete
  2. Sioni umuhimu wa kila siku kuingiza bidhaa kutoka nje ya TZ wakati tunaweza hata sisi kutengeneza vya kwetu.....!! Lets be patriotic bwana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...