sehemu kadhaa mpya za maegesho zimetengenezwa vizuri siku hizi mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Parking kwa kweli zinzpendeza.Lakini habari mpya tu kuwa, maprofesa na madaktari wanapigania hizo parking. Kasheshe tupu. Prof. mmoja wa kike amemtwanga makonde na makofi Dkt wa kiume ambaye alikuwa ameegesha kwenye eneo lake.
    Mnaipata hiyo wadau?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...