jarida lako la maraha la kitangoma liko mitaani, usikose nakala yako kwani ina mengi ikiwa ni pamoja na ushindi wa miss tz richa adhia ulivyoleta kadhia na mengi mengineyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. I hope Tanzanians are not going to be racist or religious! For the sake of Peace and tranculity which we have so far enjoy let stop being waswahili and concetrate what matters to Tanzanians.

    ReplyDelete
  2. Huna lolote Michuzi unataka kuchokoza wadau tuu haya

    ReplyDelete
  3. nakafagilia aka kabinti ka kiindi jamani tusimkandie huyu binti mwacheni apeperushe bendera ya tz.usijari dada aidha we kandamiza mwanawane

    Amy J

    ReplyDelete
  4. we michuzi umekosa vyakuandaki mpaka utuwekee huyu patel

    ReplyDelete
  5. we anonymous oct 24,2007 at 12:37am eat,
    I want to tell you mm'bongo hes not racist sababu tuko tayari kuvunjana shingo wenyewe kwa wenyewe lakini mgeni utampa hata sister wako just bicos,makubwa hayo, but bibie hapo anabaki kuwa ni mdosi tu,"mtoto wa nyoka ni nyoka tu si kuku" chuzi mlete bibie msufini mabinti wanataka kumuona miss bongo!!!!mdosi.

    ReplyDelete
  6. PANDE LA MTI LIKIKAA BAHARINI MIAKA
    MIA TANO NA ZAIDI LINAWEZA GEUKA
    KUWA SAMAKI? EEEH JIBUNI BASI
    ANZENI TUOSHE VINYWA.SI MNATUCHOKOZA WENYEWE.

    ReplyDelete
  7. nyie wabaguzi umieni roho huyu dada anafyonza mrija wake kwa upoole, nyie huku mnaumia. Tunaoishi ughaibuni huwa tunawaambia wale wabaguzi wanaosema "I HATE NIGERS", kuwa thats your problem not mine!. Kwa hiyo ndugu zangu msijiumize moyo kwasababu huyu dada ana damu ya kihindi, haikufikisheni popote hiyo chuki na wivu wenu huo.

    ReplyDelete
  8. Mdau Jitu, Mbona unafananisha kifo na usingizi? kuna issue za urai za kuhoji jamani tusome katiba inasemaje kuhusu uraia wa huyu mtoto... Pingeni Bungeni, Jamani kuna nafasi nyeti kama Ubunge? Mbona mnawachagua.....Bungeni aaaaaaaaaaah kwenye Miss noma eeeeh BAba????
    CCM ni chama kikongwe ila unamjua Muweka HAzina wa CCM ni nani?

    ReplyDelete
  9. Jamani Kaacheni ka Gabacholi ketu!!

    ReplyDelete
  10. Nakala ni chache sana za gazeti lako nini tatizo??? Hazifiki Moshi

    ReplyDelete
  11. ISSUE ILIYOKUWEPO NIKWAMBA... WATU WENGI WANAONEKANA WABAYA KWA KUMPINGA RICHA...WAMESAHAU KUWA WAHINDI WANAVYOWANYANYASA WATU WEUSI KWENYE SEHEMU ZAO ZA KAZI HILO NALO HAWALIONI?KUNA HAJA ZA KUKEMEA UBAGUZI KWA PANDE ZOTE MBILI C KUBAGULIWA KWA RICHA NDO UJE MZOZO....

    ReplyDelete
  12. kweli jamani eeeh ningekuwa raisi wa bongo wadosi wote ningewarudisha kwao bombay au wapi huko udosini?wakauze kachori zao huko they dont bring nothing kama maendeleo ya bongo ni kuchukua tu halafu canada!!!.wananyanyasa wajomba zetu makazini uliza basi what you bring for bongo?kiduka cha mchele na kachori hata msufini tunayo maduka yetu kama hayo.wa invest kwenye mabaraba tuone kwamba ni wawekezaji wazuri."Dosi rudi kwenu bombay ukalale barabarani e not kwenye nyumba za msajili ni za wabongo hizo"na huyo akiba wa ccm aambazwe hajakimbiza MWENGE huyo. by msononeka msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...