
mwalimu akiongozana na mawakili wake wakielekea mahakama ya kivukoni ambako alipanda kizimbani baada ya kushtakiwa kwa kosa la kutaka kusababisha vurugu baada ya kuandika kile kilichoonekana maneno ya uchokozi kwenye gazeti la tanu ambapo alimsema dc mmoja ambaye alikasirika na kumshitaki. mwalimu alipatikana na hatia ya kuandika uchochezi na kutozwa faini ambayo ilipwa na wanachama wa tanu waliopigisha bonge la harambee


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...