Home
Unlabelled
mfano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
we realy miss u mwalimu
ReplyDeleteHII NI PICHA NZURI SANA KULIKO NYINGI ZILIWAHI KUONESHWA. INAMWONESHA MWALIMU MCHAPA KAZI, INAFUNDISHA SANA. HAIHITAJI MAELEZO MENGI.
ReplyDeletePICHA NYINGI ZA VIONGOZI ZINAASHIRIA UKUBWA ZAIDI KULIKO UTENDAJI. UTAONA KIONGOZI AIDHA AMESIMAMA AU ANATEMBEA AU ANAONGEA. AGHALABU SANA KUMUONA KIONGOZI ANATENDA KAZI MARA NYINGI WANAHIMIZA WATU WAFANYE KAZI AU WANAKAGUA MAENDELEO YA WANANCHI.
Kuna viongozi wengine wako overweight kazi yao ni kutoa amri, kukumbatia wawekezazi wanao nyonya mali yetu ya asili na kudharau waliowachagua. Wengine wamekalia kujikuna nywele kama majuha. Hongera Mwalimu na tunakukumbuka sana...RIP
ReplyDeleteKinachinishangaza kuliko vyote ni kuwa baraza letu la mawaziri limejaa ma-prof. na maDr. lakini hakuna wanachokifanya....kumbe uongozi haujalishi una elimu kiasi gani...a big shame to our contempory leaders!
ReplyDeleteMwalimu tunakukumbuka sana mzee wa kizanaki!
jamani hebu fikirieni wakoloni walivyotufanyia utmwa and allthat kweli anastahili pongezi kwa aliyofanya.
ReplyDeleteKila barabara haikosi kona kila mtu ana mapungufu yake lakini alifanya mema mengi sana huyu baba.
Mungu ailaze roho yake pema peponi.AMEN
MAONI YA ANONY WA OCT. 14, 4:06PM, KUWA UONGOZI HAUNA UNACHOKIFANYA SIO SAHIHI NA PENGINE YAMEJAA JAZBA.
ReplyDeleteTANGU AMEONDOKA MWALIMU MADARAKANI KUNA MENGI MAZURI YAMEFANYIKA: VIJANA WANAO KWENDA VYUONI NA MASHULENI WAMEONGEZEKA SANA; PATO LA NCHI NA UCHUMI KWA UJUMLA UMEKUWA SANA; MIUNDO MBINU IMEIMARISHWA; BIASHARA ZIMEKUWA - VIJANA KWA WINGI WANAKWENDA NCHI MBALI MBALI KUUZA NA KUNUNUA; UHURU UMEONGEZEKA NA WOGA WA KISIASA UMEPUNGUA