
hayati salome joseph mbatia akiongea na dk. asha-rose migiro (enzi hizo akiwa waziri wa mambo ya nje) nje ya jengo la bunge dodoma mapema mwaka jana. mh. mbatia amefariki jioni ya leo huko kibena mkoani iringa kwa ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana uso kwa uso na lori aina ya fuso ambapo madereva wote wawili pia walipoteza maisha
Naona mmepata breaking news. nilidhani umepata za ajali kwa undani, lakini naona hakuna, nimezifuatilia nikazipata kwa mzee wa sumo.
ReplyDeletePoleni sana familia ya Mbatia. Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu. May her soul rest in eternal peace, Amen.
ReplyDeleteFamilia yote pole sana..kwa kweli inasikitisha kila unapofungua habari na kuona kuwa familia zina punguziwa sana na haya mambo ya ajali...Kinini kifanyike TZ kuboresha uendeshaji wa malory na mabasi...yaani hadi ndugu yako akiwa anasafiri safari ya barabarani mtu unakosa usingizini..maana mtu unaavoid kupanda mabasi na kusafiri katika magari ya private lakini bado haitoshi maisha tu yanakuwa hatarini...I know wengi tunaamind this is ni mpango wa Mungu lakini inabidi serikali yetu kweli iingilie kati haya mambo....
ReplyDeleteRIP Mama!
ReplyDeleteKwa wale wote wenye dhamana katika nchi hii. Ushauri wangu. Hii suala la kuwapeleka madereva wote wa magari makubwa (ya mizigo na abiria) pamoja na madereva wa serikali na mashirika ya umma kwenye kozi maalumu - Chuo cha Usafirishaji Dar ni muhimu na endapo akifeli asirudishwe kazini eti kwa sababu ni mzoefu wa barabara. Hivi vyombo havina utani jamani - sheria kali ziwekwe ili wamiliki wa mabasi ya abiria na magari ya mzigo + madereva wote wa serikali ana mashirika binafsi wakasome haraka!!
HATUTAZUIA AJALI KWA DAKIKA ILA TUTAPUNGUZA KWA KIASI KIKUBWA
Poleni sana familia ya marehemu....R.I.P Salome Mbatia
ReplyDelete