
Habari za kazi kaka Michuzi,
Mimi naomba watu wajaribu bahati zao kwenye hii kitu. Inaonekana ni wengi hawajui kuna kitu kama hiki na wengine wanajua lakini wanaenda na kulipa watu wawafanyie, hii kitu ni bure. Nimeona tangazo kwenye http://www.tzuk.net/ ila naomba kusema the real website ni hii http://travel.state.gov/visa/immigrants/types/types_1318.html
wewe ulikuwa haujui? mbona tangu 2001 watu walishaibua hiyo site ya serakiali longtime mpaka sasa watu wanaikimbilia gamba la NAVY
ReplyDeletekansas city....
## cha kuzingatia ni upiga wa picha na kisha kuiweaka kwenye cd kabla hauja-upload hapo ndo wenzetu wa kenya wanatuzidi ndo maana kila mwaka wao wanapata nafasi 6000 wakati bongo nafasi sio zaidi ya 300
good luck chuck
Hakuna dili----kunanuka damu...SORRY
ReplyDeleteKila upande wa dunia sasa kunanuaka damu so ni wewe tu. Follow your drem. Kama hutaki silazima na kama unataka nadhani ni good experience na waweza pata idea za kurudi TZ na kujenga nchi yako.
ReplyDeleteWewe anon wa october 25,2007 6:20:00 PM EAT, Acha kutupotosha.....Yaani MDANGANYIKA aende marekani na Mmarekani akimbilie BUZWAGI......which is which darling?
ReplyDeleteHaaa i think hata wewe mtoa maoni namba mmoja hujui vizuri though unaishi huko huko state! Sio lazima udownload kwenye cd tu u can use your digital camera na kudownload moja kwa moja kwenye "validator photograph" au hata ukaweka kwenye flash au kwenye computer moja kwa moja! Then kumbuka si wabongo wote wanaopenda kuishi nje ya nchi yao tatizo wakenya wengi wababaikaji pamoja na watu kama wewe!!! Luv your country HONEY, KISS 4 U!!
ReplyDelete