Home
Unlabelled
mdau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu huyo mdau ana uhusiano na hayo mabox hapo juu?
ReplyDeleteMbona mdau kachoka kuliko Michuzi ...??!! (najua najua kuna wadau wataanza kuponda kuwa majuu sio kitu... hehehehe)
ReplyDeleteKachoka ???....Mwenzenu ana afya yake nzuri....Nyie mnaoendekeza unene ndio maana magonjwa hayaishi bongo. Pressure, visukari kila siku acheni fikira za ......
ReplyDeleteNi kweli jamaa kachoka,
ReplyDeleteSi mnamwona jeans hapo chini ahaha! husicheze kazi za wazee, u-nurse, ulinzi na kufanya viwandani...Husinikumbushe mie nitalia hehehhehe
Hiyo ni wingereza unategemea nini!!
ReplyDeleteMichuzi, kiatu icho.... tafuta kiwi
ReplyDeleteBro wa ukerewe uko fit ngozi yang'ara siyo ya kama wachovu wa hapo juu wanaoponda wanaendekeza vitambi vya kitimoto.
ReplyDeleteuko poa na fit
mshkaji kweli umetoka majuu huna vumbi mguuni..maneno vumbi muulize bro michu hapo!!
ReplyDeleteHUYU JAMAA YUKO SAFI ANAMIPANGILIO YAKE..JAMAA KIBAO WALIKUWA WANMSONGA WANATAKA EURO'S NA MIKATABA.
ReplyDeleteMichuzi kwa ngazi uliyofikia nakubaliana kabisa na muungwana hapo juu kuhusiana na hicho kiatu. Tunafahamu hali ya maisha ni ngumu hapa Tanzania lakini si kiasi cha wewe kushindwa hata kupiga kiwi hicho kiatu ukiachia kununua cha maana kulingana na ngazi uliyofikia ya kwenda majuu kila leo. Natumaini utalishughulikia swala hilo maana hata mkeo akiona hivyo viatu lazima atakuzuia kutoka nyumbani...kwa leo wacha nirudi kupiga box
ReplyDeleteMichuzi is handsome jamani!!! Mwaaaah! Kisxxxx
ReplyDeleteMichu! Mbona kiatu vumbi? Au ndo bongoland? Kiwi umeisahau?
ReplyDeleteYaani Kaka Michu? Hizo fulana unazo nyingi ama nd'o hilo hilo kila mara? Na ukibadilisha, lingine tena la miraba, rangi tofauti kidooogo! Au una shea kiwandani???
ReplyDeleteKazi yako nzuri lakini Kaka.
Eboo mbona huyu jamaa wa Uk yupo bomba sana,mwili wa kianamichezo kabisa huu.Anyway wabongo mnataka kumuona akiwa na lijitambi na manyamanyama yasio na mpango ndo mseme yuko fit.Kamua mwanangu ila angalia huko, vimbweru kibao havikawii kuparura.
ReplyDelete