nimefurahi kugongana na mdau wa ukerewe aliyekuja kubuzibuzi majuzi na kutia saini madili kadhaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Michu huyo mdau ana uhusiano na hayo mabox hapo juu?

    ReplyDelete
  2. Mbona mdau kachoka kuliko Michuzi ...??!! (najua najua kuna wadau wataanza kuponda kuwa majuu sio kitu... hehehehe)

    ReplyDelete
  3. Kachoka ???....Mwenzenu ana afya yake nzuri....Nyie mnaoendekeza unene ndio maana magonjwa hayaishi bongo. Pressure, visukari kila siku acheni fikira za ......

    ReplyDelete
  4. Ni kweli jamaa kachoka,
    Si mnamwona jeans hapo chini ahaha! husicheze kazi za wazee, u-nurse, ulinzi na kufanya viwandani...Husinikumbushe mie nitalia hehehhehe

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni wingereza unategemea nini!!

    ReplyDelete
  6. Michuzi, kiatu icho.... tafuta kiwi

    ReplyDelete
  7. Bro wa ukerewe uko fit ngozi yang'ara siyo ya kama wachovu wa hapo juu wanaoponda wanaendekeza vitambi vya kitimoto.

    uko poa na fit

    ReplyDelete
  8. mshkaji kweli umetoka majuu huna vumbi mguuni..maneno vumbi muulize bro michu hapo!!

    ReplyDelete
  9. HUYU JAMAA YUKO SAFI ANAMIPANGILIO YAKE..JAMAA KIBAO WALIKUWA WANMSONGA WANATAKA EURO'S NA MIKATABA.

    ReplyDelete
  10. Michuzi kwa ngazi uliyofikia nakubaliana kabisa na muungwana hapo juu kuhusiana na hicho kiatu. Tunafahamu hali ya maisha ni ngumu hapa Tanzania lakini si kiasi cha wewe kushindwa hata kupiga kiwi hicho kiatu ukiachia kununua cha maana kulingana na ngazi uliyofikia ya kwenda majuu kila leo. Natumaini utalishughulikia swala hilo maana hata mkeo akiona hivyo viatu lazima atakuzuia kutoka nyumbani...kwa leo wacha nirudi kupiga box

    ReplyDelete
  11. Michuzi is handsome jamani!!! Mwaaaah! Kisxxxx

    ReplyDelete
  12. Michu! Mbona kiatu vumbi? Au ndo bongoland? Kiwi umeisahau?

    ReplyDelete
  13. Yaani Kaka Michu? Hizo fulana unazo nyingi ama nd'o hilo hilo kila mara? Na ukibadilisha, lingine tena la miraba, rangi tofauti kidooogo! Au una shea kiwandani???
    Kazi yako nzuri lakini Kaka.

    ReplyDelete
  14. Eboo mbona huyu jamaa wa Uk yupo bomba sana,mwili wa kianamichezo kabisa huu.Anyway wabongo mnataka kumuona akiwa na lijitambi na manyamanyama yasio na mpango ndo mseme yuko fit.Kamua mwanangu ila angalia huko, vimbweru kibao havikawii kuparura.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...