mwalimu atakumbukwa daima kama kiongozi wa mfano, sio wa kushika kiuno na kuamrisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. we realy miss u mwalimu

    ReplyDelete
  2. HII NI PICHA NZURI SANA KULIKO NYINGI ZILIWAHI KUONESHWA. INAMWONESHA MWALIMU MCHAPA KAZI, INAFUNDISHA SANA. HAIHITAJI MAELEZO MENGI.
    PICHA NYINGI ZA VIONGOZI ZINAASHIRIA UKUBWA ZAIDI KULIKO UTENDAJI. UTAONA KIONGOZI AIDHA AMESIMAMA AU ANATEMBEA AU ANAONGEA. AGHALABU SANA KUMUONA KIONGOZI ANATENDA KAZI MARA NYINGI WANAHIMIZA WATU WAFANYE KAZI AU WANAKAGUA MAENDELEO YA WANANCHI.

    ReplyDelete
  3. Kuna viongozi wengine wako overweight kazi yao ni kutoa amri, kukumbatia wawekezazi wanao nyonya mali yetu ya asili na kudharau waliowachagua. Wengine wamekalia kujikuna nywele kama majuha. Hongera Mwalimu na tunakukumbuka sana...RIP

    ReplyDelete
  4. Kinachinishangaza kuliko vyote ni kuwa baraza letu la mawaziri limejaa ma-prof. na maDr. lakini hakuna wanachokifanya....kumbe uongozi haujalishi una elimu kiasi gani...a big shame to our contempory leaders!

    Mwalimu tunakukumbuka sana mzee wa kizanaki!

    ReplyDelete
  5. jamani hebu fikirieni wakoloni walivyotufanyia utmwa and allthat kweli anastahili pongezi kwa aliyofanya.

    Kila barabara haikosi kona kila mtu ana mapungufu yake lakini alifanya mema mengi sana huyu baba.

    Mungu ailaze roho yake pema peponi.AMEN

    ReplyDelete
  6. MAONI YA ANONY WA OCT. 14, 4:06PM, KUWA UONGOZI HAUNA UNACHOKIFANYA SIO SAHIHI NA PENGINE YAMEJAA JAZBA.
    TANGU AMEONDOKA MWALIMU MADARAKANI KUNA MENGI MAZURI YAMEFANYIKA: VIJANA WANAO KWENDA VYUONI NA MASHULENI WAMEONGEZEKA SANA; PATO LA NCHI NA UCHUMI KWA UJUMLA UMEKUWA SANA; MIUNDO MBINU IMEIMARISHWA; BIASHARA ZIMEKUWA - VIJANA KWA WINGI WANAKWENDA NCHI MBALI MBALI KUUZA NA KUNUNUA; UHURU UMEONGEZEKA NA WOGA WA KISIASA UMEPUNGUA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...