wadau wa mikonozzzzz na 'pisssss' tupo wengi kumbe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. oyaaaaaa mlitumia deodorant kwanza si akirudi huku aje kusema wabongo wananuka vikwapa.Jamani kuweni na tabia/desturi ya kutumia deodorant zipo nyingi tu na bei poa.

    ReplyDelete
  2. hiyo top imetulia


    mona

    ReplyDelete
  3. we mdau wa deodorant acha ushamba sijui mbongo wa wapi wewe ?? unafikiri sehemu kama hiyo ataenda "mwajuma chupi kubwa???"" au ""fatuma makandambili?""
    hapo colony na perfums ndo zinatembea.
    mtu alipe elfu hamsini halafu aende na kikwapa?! HAIKUJII!!

    ReplyDelete
  4. Duh! hii kali ..hehe..mwajuma*** duh huu msemo sio wa Irene Sandra kweli?? hehehehe...haya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...