WADAU, GLOBU YENU HII YA JAMII INAKARIBIA KUFIKISHA WAGENI MILIONI 2 MUDA SI MREFU UJAO, MUNGU AKIPENDA. KWA IDHINI YENU NAOMBA NITANGAZE KWAMBA MDAU YEYOTE ATAKAYEBAHATIKA KUWA MGENI WA MILIONI 2 ATAPATA ZAWADI MAALUMU. AHSANTENI TENA NA TENA KWA KUNIUNGA MKONO NA KUNIPA NGUVU YA KUENDELEZA LIBENEKA....
Home
Unlabelled
MILIONI 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Matokeo yasiyo rasmi,nimekuwa mgeni wa milioni 2.Mithupu nipe zawadi yangu tafadhali sana.
ReplyDeleteMajita
Kaka Michuzi nasikia Lucy Dube, yule mtaalam wa reggae wa Afrika ya kusini "amevuta?"
ReplyDeleteEti kauawa na majambazi?
Hongera sana kaka Misupu
ReplyDeleteMichuzi usiogope kusema ni wa milioni 3 pamoja na kuwa namba hapo inaonyesha ni kueleka milioni 2. Unakumbuka ilipofika 1.500.000 counter ilileta shida na ukaanza moja.
ReplyDeletekaka michuzi utafanya watu 24hrs wawe humuhumu mana hata kusalimia ndugu na kusoma minyuzi itakau kaaazi, ila uongo mbaya mimi sio wa 2mil!!! idt
ReplyDeleteje nawezaje kuwa mgeni wa milioni 2. natakiwa kuregister au?
ReplyDeleteBro Michu..Nakupongeza kwa hilo.Hasa sisi tuliopo mbali na nyumbani inatusaidia sana , blog yako ni sehemu ya kupata current news pia refreshments .Huwezi amini mimi na mzee wangu hapa ugomvi nikiamka asubuhi kabla ya chochote kwa blog, nikirudi job tu halikadhalika.
ReplyDeleteUshauri wangu don't count number of visitors kama ndiyo target au success kwako na kwetu pia. Jaribu ku analyze quality ya wadau waliopo waweza kuwa na 1.8M visitors wasuuza vinywa watupu wanaongea utumbo utumbo tuuu na matusi, this is not archivement!
My suggestion kuwa mwangalifu zaidi kwenye wachangia maada upate comment za maana .Then tafuta jinsi ya ku channel those comments kwenye serikali, idara, taasisi na sehemu zote zinazohusishwa na maada zilizotolewa. in one way or another itakuwa ni njia mojawapo ya taasisi hizo kupata michango na mawazo ya wananchi, can be aesy for them to have starting points ya kutatua matatizo mbalimbali au kupata majibu na miongozo mbalimbali kutoka kwao.
Kwa staili ya kuosha vinywa na maneno machafu tuu hata ukipeleka mbele watakuona wewe pia muhuni tuu.
Bro work on that ,tumia chance hii walahi waweza uona hata mlango "wa ikulu" kama si "Chimwaga" kwa kupitia blog hii hii.Duuh!Watu mil 2 si jimbo la uchaguzi kabisaa!! Kwa uchache uongo hata ka "NGO" cha community matters chaweza simama kiulainii.
congrat's bro.