Home
Unlabelled
sehemu ya tukio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hao majambazi wa South Africa ni washamba namba moja. Yaani hata Luky Dube hawamjui?? Si wangepora tu hilo gari wakatuachia mtu wetu??!!
ReplyDeleteFucking dickehads!!
Pale Kinshasa, DRC Bwana Mdogo Fally Ipupa anatembelea gari ya aina hiyo hiyo kama ya marehemu Luck Dube lakini hata site mirror tu hajawahi kuibiwa. Wanamuziki wengine wakubwa kama Mopao, JB, Werrason, n.k. wanasukuma ndinga kabambi street bila wasi wasi wowote.
Duh gari nzuri sana ndio imemtoa uhai masikini....huku unatakiwa ku drive Beetle
ReplyDeleteGo in peace Lucky we will always love you.We have your songs to remember you by.
ReplyDeleteUtakumbukwa daima Lucky Dube, kwa nyimbo zako nzuri. Binafsi nimesikitishwa na msiba huu. Mungu awatie nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha msiba, Pia wapenzi wa muziki wako wote nawapa pole ya kukupoteza. Enyi mliofanya mauwaji haya mbona mmekosa upendo???
ReplyDeleteBwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe milile, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
I thought he died in a Volkswagen Polo,not a Chrysler 300...
ReplyDeleteAnyways,R.I.P Lucky!
I think the prime intention was not to hijack the car....there must be a mystirical history behind the crime!
ReplyDeleteAll in all your voice will continue to be cherished by your fans!
Kimori Seniour
Naona hawa jamaa waliconfuse Chrysler 300 na Bentley. Wakamuua jamaa wa watu....But how can u kill mtu kwa mali?? kwanini usivunjue serikali ambayo haina mwenyewe na kuiibia?(si sawa lakini heri hilo)
ReplyDeleteMungu amlaze pema
mdau
...one of his song,"crime and corruption"he sang: do you ever worry about your wife becoming the woman in black,do you ever worry about leaving home and coming back in a coffin with a bullet in through your head.
ReplyDeleteWabongo tuacheni uzembe wa kufikiri, huu haukuwa ujambazi wa kuiba gari ndio maana lipo hapo. Hilo pia si gari la ajabu, ni Chrysler tu, South wana mtambo wa ma BMW na wa Benz, hilo halikuwa gari la kumtisha mtu South, labda kama hawajui kwamba huku Marekani ni ya Wamarekani weusi wasio na kazi.
ReplyDeleteI don't believe carjacking was a motive to his death. Why didn't they take the car? I feel sorry for his children to witness the death of their father. May god rest his soul in peace and may god comfort the children and the family. Strength may you rebuild,hence to overcome,the grief you endure,with the lord on your side. WE WILL ALWAYS REMEMBER YOU LUCKY DUBE!
ReplyDeletesenseless violence that continues to riddle the street of south africa,is very sad that he consumed by the violence he vehemently opposed.My God lord rest his gentle soul in peace.
ReplyDeleteWee Mdau Unaesema Tuache Uzembe Wa Kufikiri Naona Ndo Unatutia Uzembe Kama Sio Kutuambukiza..Eti Hili Gari Wanatumia Wamarekani Weusi Wasio Na Kazi...lol Mkuu Acha Zuga Hata Kama Huko Marekani Hatukujui Ila Hapo Unatupiga Changa...Najua Wewe Utakua Na Kazi Basi Kama Hutumii Jet Kosa Kosa Helkopta...Kaziii Kweli Kweli Ni Mikandamizo Tupu
ReplyDelete