Home
Unlabelled
simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kikosi cha mauaji - Waliosimama kutoka kushoto: Henry Joseph, Mohamed Kijuso, Joseph Kaniki, kocha Julio, Nurdin Bakari na George Owino.
ReplyDeleteWaliochuchumaa kutoka kushoto:Shaban Kisiga, Ulimboka Mwakingwe, Said Sued, Nico Nyagawa na Kelvin Yondani.
Manji itabidi aongeze ziwe milioni 200.Wazee wamemuingiza mjini.Utatoaje pesa eti za shughuli.Ungesikia timu kama Liverpool nao wana fungu la shughuli.Wajinga ndio waliwao.Mjini shule.Yanga wana inferiority complex kila wakikutana na Simba ndio maana wanafungwa.Kuna wakati nilisema heri tufungwe na Mbagala United kuliko Mdebwedo.
ReplyDelete