Home
Unlabelled
tid ndani ya sanaa pub
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Habari Bro. Michizi,
ReplyDeleteNimepokea habari ya kifo cha Mh. Salome Mbatia kwa uzuni sana.
Imenisikitisha sana.
Wakati ninashirikiana na shule ya chekechea ya(Elu Children Care,www.eluchica.org) ya morogoro kutengeneza nyimbo za kumuenzi Mh.Amina Chifupa balaa lingine limezuka.
Blog hii ni mwisho, haina tofauti na radio. Kila nikiitembelea hata kwa siku hiyo hiyo mida tofaudi nakuta habari mpya.
Nafurahia zaidi breking nyuzzzzzz.
Upo bongo au nje ya bongo mambo yote current utayapata kupitia blog hii. Ninaposoma habari katika blog hii kama nipo mitaa ya kariakoo,posta, au migomigo vile.
Sijisikii kama nipo nje ya bongo.
Thanks brother for keeping us posted with almost every event which is happening home.
Mimi ni mshabiki wa bongo flava watambulishe wasanii wa huko nyumbani kuna web sit inaitwa:
www.midundoglobe.com wanaweza kunufaika nayo sana its not very popular but it's very outstanding.
Bravo blog yetu long live.
Please do not get tired to keep us posted with all important news and events.
thanks bro.Michuzi.