Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Kazi ya photo shop, original ya hii picha ni kijana wa kidachi holigani wa Feyernoord, kumbe hawa wa sauzi wameibadilisha picha nakumvalisha fulana ya sauzi na kabendera kwenye shavu.

    Huyu kijana ni mholanzi, tena sasa hivi ana miaka 15 anaishi Rotterdam, picha yake ilizungumzwa sana kwenye TV hapa Uholanzi

    ReplyDelete
  2. Jamanie kweli samaki mkunje angali mbichi...!!!

    ReplyDelete
  3. Loo, hawa makaburu wezi kweli - hadi picha? Hii picha wala sio ya mtoto wa ki-Sauzi. Wamembandika - kitoto cha GB hicho - ka baba kake ka-football hooligan - mhh...

    ReplyDelete
  4. hichi kitoto balaaa kweli,

    ReplyDelete
  5. Michuzi huyo dogo naona alikuwa amedata kwa ushabiki. Dizaini baba yake alikuwa anacheza.

    Mzee wa TBS

    ReplyDelete
  6. Mitoto ya mikaburu utaijua 2. Lione kwanza na alama yake ya bendera ya Afrika Kusini. Kwa ishara yake hiyo nafikiri hiyo nchi iitwe AFRIKA YA KUZINI. Hata hivyo hiyo nchi ni moja ya nchi zenye wanawake wazuri sana na wenye mashepu.

    ReplyDelete
  7. Dunia imekwisha kiama kinakuja,Enzi za ujana wangu kila nimuonae Shikamoo sasa lo Astakafulah.Baba lao,Toronto,Canada

    ReplyDelete
  8. Nyoooooo! Mtoto mdogo namna hiyo tayari ushajifunza matusi. Ukikua, kazi ipo!

    ReplyDelete
  9. Nadhani huyu mtoto kajifunza kutoka kwa baba/mlezi wake!

    Moja, hiyo alama ya kidole ni kawaida ya nyumbani kwao!

    AU

    Mbili, peers wake nao niwa ajabu ajabu!

    Vladmir Lenin wa Urusi alifikiria kuwa "religion is the opium of the masses".

    ALIKOSEA!

    "Sports is the opium of the masses."

    ReplyDelete
  10. And That's funny!

    ReplyDelete
  11. Mbona mnatuchanganya mara ni mtoto wa Kiholanzi,ki-uk/kibritish?Halafu wewe agwegwe nadhani akili yako haina akili,sasa hapo umesema kitu gani?
    Jamani watoto wa kizungu wanafanana,huyu anaweza kuwa msauzi na wala si kibritish,au kiholanzi.My opinion

    ReplyDelete
  12. inabidi Kamati ya Mashindano ikae na kutafakari suala hili

    ReplyDelete
  13. HUYU MTOTO NI INNOCENT....ILA ANAELEKEA KUUPENDA HUO MCHEZO ANAOUTAZAMA....SASA LINAPOKUJA SUALA LA USHANGILIAJI YEYE AMEJIKUTA AKIIGIZA STAILI YA USHANGILIAJI YA BABA ZAKE ......YEYE HAKUNA ANACHOKIJUA MALAIKA WA WATU......HASTAILI KULAUMIWA.....HE LOOKS VERY SWEET!!

    ReplyDelete
  14. MAMBO YA ".PHOTOSHOP." HAYA UTAKUJAKUTA PICHA YA " JK " KAFUMANIWA HUMU NDANI..POLEPOLE NDIO MWENDO.

    ReplyDelete
  15. Hizi ni salamu tosha kwa waingereza toka afrika kusini kabla ya fainali ya rugby jumamosi....yaani hapo paris patakuwa hapatoshi....ila sio siri waingereza kwa misifa tu...naombea wafungwe ili tusikie habari za maana BBC NA skynews maana wakishindwa itakuwa habari hizohizo tu hadi rugby world cup ijayo

    ReplyDelete
  16. tunatafisiri mambo vibaya, huyu dogo kaonyesha kidole kati, kwani kina maana gani? Waliomhukumu Athumani Idd "Chuji" hawakuwepo huko au mpaka Tenga aseme????

    ReplyDelete
  17. Huyo ni "CHUJI" wa kesho angalia hizo rangi za nguo. Tehetehehhhhh

    ReplyDelete
  18. Hahaha!! kweli aliye itengeneza hiyo picha kaipataia anajua kuitumia "PHOTOSHOP." ila kachemsha kwenye bendera ya kwenye T-shart bendera imenyooka lakini nguo imejikunja panakazi

    ReplyDelete
  19. Anayesema sio mholanzi aangalie hapa http://www.torkiljohnsen.com/hattrick/wp-content/uploads/2006/08/young_feyenoord_hooligan.jpg


    Ni mtoto wa kiholanzi anatoka Rotterdam na timu yake ni Feyernoord

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...