

huko kilwa kisiwani magofu ya kale bado yapo kibao tatizo hayapati promosheni kuvutia watalii, hasa ikizingatiwa kwamba ni mmoja wa mji uliopata maendeleo mapema mno kuliko miji mingi ya bongo ukiwa unashikiria rekodi ya kuwa mji mkongwe kuliko yote afrika mashariki na kati. kwa habari zaidi bofya hapa


Je kwenye video ya CNN Kilwa imo?
ReplyDeleteHapo ndipo kwetu, Kilwa Kisiwani. Mji mkubwa sana na mji wenye elimu ya juu katika nyanja zote. Kama unataka elimu usikose kwenda hapo Kilwa Kisiwani.
ReplyDeleteHapo ndipo kwetu, Kilwa Kisiwani. Ni mji wenye elimu ya hali ya juu katika nyanja zote. Usikose kwenda hapo Kilwa Kisiwani kupata Elimu na historia ya maisha yako.
ReplyDeleteHapo ndipo kwetu. Usikose kwenda Kilwa Kisiwani kupata elimu.
ReplyDelete