huyu mtoto ana umri wa miezi 11 lakini ana uzito wa kilo 52.2 na msosi wake ni wali wa mchele wa kilo moja na maziwa lita 5 na nyama kilo 2. kwao ni huko india kitongoji cha rajasthan. anashikilia rekodi ya dunia ya kuwa mtoto mzito kuliko wote wa umri huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. DU, YA LEO KALI. HUYO MTOTO HATARI ANATISHA. SASA KAMA MWENZANGU NA MIE NUSU KILO YA MCHELE INAKUSHINDA, SI HATARI JAMANI KUWA NA MTOTO KAMA HUYO!!LOL
    Nu.

    ReplyDelete
  2. Hao wazazi wana dhambi, ndio wanaofanya mtoto awe mnene kama hivyo watakuja kumuua bure, utampaje mtoto wali kilo moja na maziwa lita tano, nyama kilo mbili, wanamu-abuse

    Watu wanaojua haki za watoto wangewachukulia hao wazazi hatua, kula kwake hakutokani na yeye mwenyewe bali ni tabia ya wazazi waliomzoesha, akiendelea hivyo watamuua kiumbe wa watu.

    ReplyDelete
  3. Hili toto jike au dume?
    Halafu hebu Michuzi angalia vizuri, ni kilo 52 au pauni 52? Huyu jamaa hana ubavu wa kubeba kilo 52 begani na ukubwa wa mtoto huyu kuwa kilo 52 ina maana ana mawe tumboni? Ni mkubwa ndiyo, lakini da! Kilo 52? Sawa majogoo makubwa 26? Ee Bwana halafu Rajasthan siyo kitongoji ni Jimbo kaskazini mwa India.

    ReplyDelete
  4. kwa kweli hii si njema kwa afya ya mtoto huyu hivi hao wazazi hawapewi ushauri wanapozaaaaa

    ai hawmtakii mema kabisa ndo maana wanakufa ovyo na presha

    ReplyDelete
  5. Michuzi kuna wali wa mchele na wali wa..... Nisaidie maana Kiswali changu si kizuri

    ReplyDelete
  6. Hata watoto anaowaonyesha Maury kila siku kwenye show yake ni wanene. lakini wazazi wao sio ignorant. Huyu mtu anampa mtoto chakula chote hicho na watu wanafurahia.

    ReplyDelete
  7. this is obese to the extreme jamani hawa wazazi wangefaa wamwazishie strict diet mtoto anakula kuliko hata mtu mzima kilo mbili?nusu kilo yenyewe so kumaliza duh huyu tumbo limeshakuwa pana wazazi watakuja pata tabu badaye na huyo jamaa aliye mbeba akitoka hapo hana shingo.lakini tuache utani they have to do something siku hizi nchi za nje wana technology ya kuweka kitu tumboni kusaidia watoto wanene wapunguze the amount of food being consumed namaanisha kwamba mtoto anakuwa anakula kidogo halafu anawahi kushiba sijui mmenipata?anyws pole ya mtoto na wazazi

    ReplyDelete
  8. Sio swala la kushangaza India, kuna maajabu ya kila namna.

    Nafikiri pia wanamuabudu kwa kumfanya ni mungu wao, na inawezekana wafuasi ndio wanamchangia katika msosi wa kila siku.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  9. bonge nyanya hilo jamani linapendeza

    ReplyDelete
  10. Wazazi wake ingefaa wapigwe risasi.. Hata mbwa wangu siwezi kuumpa chakula anenepe hivyo

    ReplyDelete
  11. whatever,even if they will worship him,still they will get what they want, piga ua garagaza, god will alwayz be human or if not with human attribute,we can not think something which we have not seen,thats all.
    swami vivekananda

    ReplyDelete
  12. Mtoto huyo ni 'Time Bomb". Wao wanamuona kama Nabii..
    Wadosi bwana!!!!???

    ReplyDelete
  13. hapa ni kudanganyana baniani hali nyama lakini nashangaa huyu mtoto ana kula nyama

    ReplyDelete
  14. duh toto hata halifurahishi!

    ReplyDelete
  15. Huyu mtoto lazima amenenepa sababu ya kula panya si mnajuwa wahindi kwa panya ndiyo wenyewe.wahindi wanapenda panya wamakonde hawaoni ndani.
    Halafu anon oct 24,o7:7pm hilo swali zuri sana.Inabidi Michuzi utueleze kuna aina ngapi za wali?hahahahaha

    ReplyDelete
  16. Michu na wewe umezidi !!
    Mara ohh my wife wangu sasa wali wa mchele !!
    kesho itakuwa maji ya maziwa !!

    ReplyDelete
  17. ISSA MZEE VIPI MAALIM MBONA VITUSI VYA REJA REJA HUMUNDANI ETI (WALIWA MCHELE) HAYA SASA (WALIWA MICHUZI).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...