
jk na mama wa kwanza salma kikwete wakipozi na Papa Benedict wa 16 huko vatican jana.
kiongozi huyo wa kanisa katoliki jana hiyo hiyo aliteua makadinali wapya 23 na kwa habari hiyo kamili bofya hapa . Papa amekubali kuzuru bongo karibuni na kwa habari hiyo ya ziara ya jk huko vatican bofya hapa


Kwa kweli mama yetu wa kwanza anajula kupigilia pamba ona alivyotoka kidiplomat
ReplyDeletejamani kutokana na enzi za uwazi na ukweli mi leo nasema manake kila siku kinakera nafsi yangu mnaonaje first lady tumshauri afanye diet?. au waafrika utamaduni wetu ni unene?. lakini unene unaleta maradhi jamani
ReplyDeleteNamshukuru sana mheshimiwa rais kwa ombi lake la kuomba ziara ya kiongozi wa kanisa katoliki duniani aje kuitembelea Tanzania.Itakua faraja kubwa kwetu pia nahisi matatizo ya kanisa katoliki yatapungua. Na mahusiano na madhehebu mengine pia dini nyingine yataimarika zaidi
ReplyDeleteBro Michuzi,
ReplyDeleteKuna maoni nimepost juu ya kivazi cha mama wa kwanza umeyabania!!! basi ningeomba uyaweke maana this is a free society na tuna haki ya kuexpress mawazo yetu. If they dont mean anything;they can still be posted anyway...what do u think.
Mdau.
First lady looks eminent and superb which reveals the aunthentic african figure....I like it so long as her table is not loaded with Genetically Modified Food to imperil her health!
ReplyDeleteKimori Seniour
Ash,
ReplyDeleteUsione ajabu bi mkubwa kunenepa, unene ni dalili ya maisha mazuri afrika. Angalia waafrika wengi duniani ni wanene kweli lakini ki afra ni hatari sana.
Mmh!wasuuza vinywa tulieni hata hapa mnataka kutia mdomo?First Lady katulia hana kasoro yoyote umbo la mama wa kiafrika je mnataka atoke vifupa kama ma miss wenu? Hana magonjwa kila mara anafanyiwa chech up na afya yake hata Dr hana wasiwasi nayo.
ReplyDeleteDuuuh Rais wetu na mama yetu wa kwanza wametoka mchicha sana.
ReplyDeleteMnawakumbuka BWM na mama wa kiraracha walivyokuwaga ilikuwa vichekesho walikuwa wanaonekana kamamabeano.Big up JK we like you all.
Apunguze kuvaa madhahabu yaho ya mabangili, miwani, mapete, na mavidani!
ReplyDeleteHuu ni wakati mbaya wa dhahabu yetu kunyakuliwa na wawekezaji wa nchi na mafisadi wazawa!
Kuna wakati Bush Mzee alipokuwa Rais, mmoja wa mawaziri wake, Allen, aliyeshutumiwa kwa kuhongwa na Wajapani, waandishi wa habari walikuwa wamejitega hapo nyumbani kwake kutaka kumwuliza uliza.
Siku moja asubuhi, mmoja wa waansidhi wa habari alimwuliza Waziri Allen, "What tine is it, sir?
Waziri Allen alivuta mkono wa suti yake kuangalia saa...akakumbuka kuwa mojawapo ya tuhumu hizo ilikuwa kahomgwa saa ya gharama ya Seiko!
Alipotanabahi, alikimbia bila kujibu swali hilo!
Kuna siku watu wataanza kumwuliza au kupiga kelele, "Ni saa ngapi sasa, Mama Kikwete?"
CHEKENI SAAAANA!
mjomba jk nimefurahi kusikia umekuja kwa poppe,sema sisi walala hoi hapa passpoti ya kurudi nyumbani tunaekewa mizengwe lakini wadosi wanazo tufanye nini mjomba?nataka kurudi gezaulole bwana.
ReplyDeleteKwenye hii picha Mama Kikwete kamsogelea mno papa.Halafu na papa naye naona anamtazama mama Kikwete kwa Jicho la .............ngoja niwahi sala St.JOSEPH nisije chomwa motoni bure.
ReplyDeletehivi huyu Mkwere(JMK)bado anajitambulisha tu!mpaka amalize dunia nadhani itakuwa ni mwaka 2010 na hapo inabidi aanze kuaga hadi mwaka 2015.
ReplyDeleteNchi maskini bwana kazi kwelikweli!hata viongozi wake wanakuwa na akili maskini.
woote mliotoa maoni hapo mngekuwa mnamjua papA ni nani na ana mpango gani na Dunia yetu MNGETOA MAONI TOFAUTI. Mjitahidi basi mjue hata JESUITS yatosha kubadili mawazo yenu!!!
ReplyDeletebro michuzi kuna maoni nimetoa jana kuhusiana ha hoja hii ya JMK ila haujaitoa hewani..
ReplyDeleteUSINIBANIE KAKA