kikosi cha yanga kilichocheza leo morogoro na kubamizwa 1-0 na simba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mishahara mnalipwa, posho mnalipwa, vifaa vya michezo mnapewa, sehemu ya kambi ipo bomba lakini mkiingia uwanjani mnatuabisha. Namna hii tutaacha kuwacharaza bakora?

    Kwa faida ya wasiofahamu wachezaji, Kutoka kushoto ni Tom Maurice, Laurent Kabanda, Lulanga Mapunda, Waziri Mahadhi, AMri Kiemba, Hamisi Yusuf, Ivo Mapunda, Wisdom Ndhlovu, Amiri Maftah, Credo Mwaipopo na Shadrack Nsajigwa.

    ReplyDelete
  2. Mtachapana bakora sana.Kazi kupiga domo tu.Ohh mwaka huu tumesajili wachezaji wa kimataifa.Timu mbovu lakini wapenzi waosha vinywa wa kutupwa.Simba amecheza na wachezaji 10 kwa dakika 75 mmeshindwa hata kutoa droo.Muombeni Manji aongeze pesa za shughuli kwani milioni 50 hazitoshi afanye milioni 300 labda mtapata sare.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...