KWA HISANI YA COMPUTERCONSULT LTD YA DAR NATANGAZA ZAWADI YA DOLA 500 KWA MDAU YEYOTE POOTE ALIPO DUNIANI KWAMBA ATAKAYEBAHATIKA KUWA MGENI WA MILIONI 2 KWENYE GLOBU YETU HII. ENDAPO UTABAHATIKA NITAKUARIFU KWA ANUANI YA BARUA PEPE UTAYONIPA NA KUNIAMBIA TUKUTUMIEJE HIYO ZAWADI
Home
Unlabelled
ZAWADI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


utajuaje email ya mshindi wa milioni mbili
ReplyDeleteMdau
Whoa that's a lot of Green,I hope I win this!
ReplyDeleteYes Michuzi, hebu tuambie utajuaje mshindi ni nani? Manaake ukitangaza kuwa kwa mfano "Mtu wa 2,000,000 ni Anon wa siku fulani na saa fulani" kama tunavyoitana humu ndani basi kila mtu atadai yeye ndio huyo Anon
ReplyDeleteMichuzi huna knowlege ya marketing.we ni wa kufotoa tu,sasa kwasisi watu wa marketing perception "hiyo ni kampuni isiojiamini na hakuna quality wala excelent services.iweje wakutume udanganye watu ili wa visit hiyo site yao.hilo nishindano lisilokuwa na mshindi.
ReplyDeletena kushinda shindano hili ni lazima u post comment? au ukiingia tu ukaangalia habari basi unaweza ukawa mshindi? please naomba utujulishe... anko michuzi!
ReplyDeleteNashauri uchukue screenshot ya IP address ya mtu wa 2,000,000. Halafu ufanye uhakiki wa location ya hiyo IP address. Pia tuwekee hiyo screen shot hapa wadau tuihakiki pia. Unaweza kuchagua wadau watatu wapokee pia e-mail toka kwa mshindi kama ushahidi kuwa IP address ni ya kwake. Hao wadau watatu wa kuhibitisha wajitokeze kwa kuandika e-mail zao katika comments za blog.
ReplyDeleteHivi anoy hapo juu unajua maana ya IP address. Screen shot ya IP address?????
ReplyDeleteYes sio laima uweke comment humu...just angalia hiyo number ya chini kama wew ndio 2 million but you have to take a money shoot picture au jinsi yeyete kumake sure michuzi amejua nini wewe kweli.
Lakini ukiacha commnts sio vibaya pia..wengine humu tunaengeza number za Micuzi kwa comments za watu. I love to read those comments.....